Recent content by Purple

  1. Purple

    Je, unataka kuumizwa kimapenzi na Mwanamke? basi kuwa mwaminifu, mwenye upendo wa dhati na muoneshe jinsi unamthamini, hakika utaumia

    Na mwanamke atakayekaa na wewe kwa kuvumilia mambo yote hayo uliyoandika ujue hana pa kwenda yani kwa kifupi maisha yake bila wewe hayaendi..lakini kwa sisi ambao maisha yetu hayategemei mwanaume kukuacha shilingi ngapi?
  2. Purple

    Wakinadada mlioingia kwenye ndoa muwe wavumilivu

    Uvumilie tu hadi uletewe magonjwa ya zinaa,presha na msongo wa mawazo uvumilie tu kisa mama yako ali/anavumilia..mnatuogopesha jamani na hizo ndoa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Purple

    Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

    Ndoa ni yenu wawili lakini kila mmoja anatimiza malengo yake kivyake cha kushangaza zaidi wewe upo busy kumsuport mwenzio mbona yeye hakusupport?hakuna hata sehemu moja umesema yeye naye alitoa pesa akakupa ili ufanye kitu Fulani..ni wewe tu ndio mtoaji..kweli huu ndio upendo wa mshumaa Sent...
  4. Purple

    Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

    Huyo kidume anataka tu kuweka record tu hapo ofisini kua naye havumi lakini yumo, atakuchafulia CV yako bure na utabaki kujuta for the rest of your life..
  5. Purple

    Hivi ni lazima kuhonga!??

    Huna future nae ila kitu yake unataka lol vya bure gharama
  6. Purple

    Mwanamke unajijua upo period, unafuata nini kwa mpenzi wako?

    Kwani nani alikwambia kila unapoonana na girlfriend wako lazima kwichikwichi? Ukimchukulia mwanamke kama chombo cha starehe naye lazima atatafuta mbinu ya kukabiliana nawe ili mwende sawa... Hata ingekua mimi ndio huyo girlfriend wako ningekua nakwambia nipo period from january to december
  7. Purple

    Unamhudumia wakati hujamuoa, Umerogwa??

    Acha tuhudumiwe bana, kwani pesa ya mwanaume mwingine wewe inakuuma nini?
  8. Purple

    Wanawake waliolewa tu, ni kweli kila siku mnafanya mapenzi?

    Wanaume wengine hawaishi hamu bana the way anavyokutreat kwenye four angle unatamani iwe kila siku na hata hivyo kua kila siku haimaanishi ndio iwe saana, inaweza kua kidogo but with satisfaction... Ila kuna wengine mmh hutamani hata akuguse maana vita sio vita ili mradi tafrani.. I suggest...
  9. Purple

    Nisadieni ndoa yangu inavunjika

    Duh umepata uwezo wa kununua fridge na Tv tu umeongeza mke wa pili siku ukipata uwezo wa kujenga nyumba nadhani utaongeza watatu kwa mpigo, umelikoroga acha ulinywe taratibu
  10. Purple

    Shtuka mrembo, utachezewa mpaka lini?

    Haya mambo hayana formula, kuna wanaovaa hizo nguo za kubana, vitovu nje, short skirts na wameolewa raha mustarehe, kuna wanaovaa hayo manguo marefu, wanajitunza lakini hata wa kuwaambia dada hujambo hakuna, by the way hua wanasema innocent ladies ndo hua wanaumizwa sana na mapenzi
  11. Purple

    Mwanaume ndiye mwenye maamuzi ya mwisho

    Ni kweli mwanaume ndio anatakiwa kutoa maamuzi ya mwisho lakini pia inategemea na mwanaume mwenyewe...maana kuna wanaume wengine vilaza jamani ukimsikiliza kwa kila kitu unapoteza mwelekeo wa maisha...pia wakati mwingine ni vizuri wanaume muwe mnasikiliza pia ushauri, mwanaume mbabe...
  12. Purple

    Acheni tabia ya kuombaomba na kutongoza tongoza

    Nilichopenda ni kua umelenga kote kote, hujabase upande mmoja, hii inaonyesha hujaandika ukiwa na stress...big up!
  13. Purple

    Ewe Dada, zijue sifa za mwanaume anayetaka bikra wakati yeye hana

    Hahahahaa before hapo tulikua tunaishia kuona kwenye tamthilia na movie tu...baada ya kufika chuo ndio tukadanganyika kupractice tulichokua tunaona kwenye movie..na tulijua maisha ni simple kama kwenye tamthilia kua your first man ndiye atakua mumeo
Back
Top Bottom