Wanawake waliolewa tu, ni kweli kila siku mnafanya mapenzi?

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,660
Reaction score
33,665
....Natumaini mu wazima wote....

....Hapa ninapokaa, kuna nyumba nyingine iko karbu yangu...

....Kila siku saa nne au tano, naskia ngu ngu milio ya kitanda...

...Jamani ni kila siku iendayo kwa Mungu....

...Swali langu ni hili, wadada ni kweli au mko tayari kuserve wanaume wenu kila siku au mnapimiana? 😀😀😀
 
Wanaume wengine hawaishi hamu bana the way anavyokutreat kwenye four angle unatamani iwe kila siku na hata hivyo kua kila siku haimaanishi ndio iwe saana, inaweza kua kidogo but with satisfaction... Ila kuna wengine mmh hutamani hata akuguse maana vita sio vita ili mradi tafrani.. I suggest wanaume nao wangekua wanafundwa wengi wao(from vijiwe vya kike) hali ni mbaya..
 
Dalili za nyeto ni kubwa kuliko za midadi. Kama hawakunyimi usingizi lala kama wanakunyima usingizi na kelele la kwichikwichi basi mwambie mjumbe wa mtaa awataarifu kuwa noise pollution si nzuri kwa afya hasa nyakati za usiku..... hehehehehe

Kuna jamaa ananiambiaga mara kwa mara.... Kasie siku nikikupata kwenye anga zangu sitafanya makosa, ntahakikisha baada ya hapo kilasiku unaomba kukorogewa uji..... nabaki kucheka tuu
 
Mwanamke anaejitunza kama vile usafi,kuepuka kitambi,kufanya mazoezi ili kumatain shepu e.t.c huwa anavutia sana kupandwa.......Walahi kama wewe ni msafi,unamatain shepu vizuri lazima nikupande kila siku tena usiku kucha,na hizo ngu nguu nguuu za kila siku usiku lazima zitawakomesha majirani![emoji1]
 
Ivi shosti naona na wewe unaendaga kuchungulia

hahaaa mkuu umenichekesha,mie nikianza kuwaskia ma mie namtafuta baba chanja wangu,tunaanza yetu,,,,😀😀😀😀😎😎
 
Dalili za nyeto ni kubwa kuliko za midadi. Kama hawakunyimi usingizi lala kama wanakunyima usingizi na kelele la kwichikwichi basi mwambie mjumbe wa mtaa awataarifu kuwa noise pollution si nzuri kwa afya hasa nyakati za usiku..... hehehehehe

Kuna jamaa ananiambiaga mara kwa mara.... Kasie siku nikikupata kwenye anga zangu sitafanya makosa, ntahakikisha baada ya hapo kilasiku unaomba kukorogewa uji..... nabaki kucheka tuu
hebu ingia anga zake uone kama atatimiza ahadi yake halafu utupe mrejesho
 
Mwanamke anaejitunza kama vile usafi,kuepuka kitambi,kufanya mazoezi ili kumatain shepu e.t.c huwa anavutia sana kupandwa.......Walahi kama wewe ni msafi,unamatain shepu vizuri lazima nikupande kila siku tena usiku kucha,na hizo ngu nguu nguuu za kila siku usiku lazima zitawakomesha majirani![emoji1]
Kiruuu
 
sijui hata sijaingia anga hizo mimi naserv mara moja kwa mwaka kuweka akili sana maana nyege sio ndugu yangu zinaweza kukufanya kichaa yaani
 
Back
Top Bottom