AYmemba
Member
- Oct 24, 2013
- 13
- 4
Habari zenu wakuu,
Naja kwenu leo mnisaidie kuna msichana nilianzisha uhusiano nae (wa kimapenzi) kiukweli mwanzo nilimpenda sana na hata yeye alikuwa anadai ananpenda tumeenda mwisho wa siku akadai mjamzto mimi sikukataa nikasema poa mama kijacho.
Kutoka hapo kimbembe kikaanza akaanza kujtangaza mke wangu kwa ndugu zake na wangu pia, mimi suala la kuoana halpo hata kidogo kumwambia mimi sipo tayari kuoa akadai yeye kaandaa kila kitu hivo mimi niondoke na vifurushi vyangu nihamie kwake nikagoma.
Nilivyogoma akadai mimba imetoka kwa mawazo nikaamua kukatisha uhusiano palepale maana watu wanancheka eti nimeolewa na mimi nipo kwangu na yeye anakaa kwake, saivi eti tena anada ni ana mimba yangu, nimfanyeje huyu na simtaki tena maana lengo lake yeye namiliki.