KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,078
- 40,690
Chukua tahadahari mpwa....wavulana ni wengi kuliko wanaume.....ndio hao wanaoharibu sifa za wanaume kwa kutenda kinyume na UANAUME ingawa kimuonekano wanafanana na wanaume.....Kwa kweli mpwa