Recent content by Pure Mathematics

  1. P

    JamiiForums Tanzania Joshua Nasari (MB) na mtarajiwa wake

    ?????????
  2. P

    JamiiForums Tanzania kwa nini wazee tu??

    Serikali yetu hufanya kosa kubwa sana inapo ruhusu Wazee wa miaka 60 na zaidi,kuajiriwa kwenye kazi za usafishaji wa barabara na Madampo ya Uchafu.Pamoja na hilo lakini bado mishahara yao ni midogo sana.Wengine hulipwa hadi 35,000/= kwa mwezi.Wengine hukosa chakula nahata kuamua kutafuta mabaki...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Jini ataka 'Hati ya Muungano'!

    Bonge la soo ugangani" Ishu ilikua hivi: Jamaa alipandisha jini kwa mganga: Mganga: Nini unataka tukupe utoke kichwani? Jini: Nataka chano cha Halua, Kuku mwekundu na Ng'ombe, Mganga: Sawa utapata hakuna chengine? Jini: NATAKA HATI YA MUUNGANO. Mganga: Heh! We jini kweli au Maalim Seif sharifu...
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenikuta, wife akuta condom kwenye suruali yangu

    Join Date : 15th May 2014
  5. P

    JamiiForums Tanzania Nafundisha muziki kwa nadharia na vitendo

    nipe elimu yako kimuziki{uliposomea} na uzoefu wako kimuziki...isije ikawa unajua primary music then ukaaza kubabaisha watu
  6. P

    JamiiForums Tanzania Sera mbaya za Access Bank Tanzania zasababisha wafanyakazi kukimbia

    Mabepari wanatumiaa tatizo la ajira kuendelea kuexpoit maskin....ni shidaaa
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sawa nenda, nitaudanganya moyo wangu utatulia

    ......????............
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maamuzi ya mwanaume wa kweli haya hapa.

    si mpaka umgonge hyo mimba...kwani yeye hajitambui ndo ashike mimba yako?? nyo*****o
  9. P

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa kwenye Interview CRDB

    we unaulizi mshahara kabla hujapata kazi??? are u serious??????
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kupoteza hamu ya tendo la ndoa

    noted......
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI PLEASE:NINUSURU UHAI AU NIMWACHE ATOE MIMBa

    ---Asnte mkuu kwa hii useful advice...binafsi sitakua huru kuwa artificial father as if baba halisi is dead, but also sitakua na amani akifanya abaortion japo sijamshauri afanye abortion... For more than 2 years nimekua karibu na huyu dada na nimekua namshauri mambo mengi ya msingi that's why...
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI PLEASE:NINUSURU UHAI AU NIMWACHE ATOE MIMBa

    huo ndio mtihani wa kwanza...
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI PLEASE:NINUSURU UHAI AU NIMWACHE ATOE MIMBa

    mkuu kwani mimba sio mtu?
  14. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI PLEASE:NINUSURU UHAI AU NIMWACHE ATOE MIMBa

    mkuu sijamshauri atoe mimba ila yeye amenipa condition nikubali akiulizwa baba wa mtoto aseme ni mimi, otherwise hayupo tayari kumtambulisha aliempa mimba, so ataitoa
Back
Top Bottom