kwa nini wazee tu??

Pure Mathematics

Senior Member
Mar 8, 2012
174
225
Serikali yetu hufanya kosa kubwa sana inapo ruhusu Wazee wa miaka 60 na zaidi,kuajiriwa kwenye kazi za usafishaji wa barabara na Madampo ya Uchafu.Pamoja na hilo lakini bado mishahara yao ni midogo sana.Wengine hulipwa hadi 35,000/= kwa mwezi.Wengine hukosa chakula nahata kuamua kutafuta mabaki ya vyakula kwenye Madampo ya Uchafu.Nahuku wengine wakiwa na rundoo la wajukuu mjumbani mwao.Tuliangalie hili wenzangu,Maana tunaipanda laana kupitia Wazee wetu.


 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom