Maduka yote yanaozunguka uwanja wa Sh. Amri Abeid yamefunguliwa kusachiwa na mbwa halafu yatafungwa.
Hivyo hakuna biashara leo na kesho kupisha utoaji wa nishani kwa wajeda.
Sasa sijajua watafidiwaje hao watu na Serikali maana wengi wao wana marejesho ya kibenki.
The Supreme Court has quashed President Uhuru Kenyatta's re-election, ordering for a fresh presidential election in 60 days.
The court stated that IEBC did not conduct free and fair elections but cleared Kenyatta of any malpractice.
They also stated that the irregularities experienced affected...
Kuna kiambatanisho toka BOT naomba wazoevu katika tasnia hii watueleweshe kama mwananchi wa kawaida atapata unafuu wotewote kwa kushuka kwa hizo interest rate
Sent using Jamii Forums mobile app
http://www.nation.co.ke/news/Joho-to-appear-before-detectives-over-forgery-claims/1056-3867022-a79f1gz/
Kwa atakayesoma...atakua hatua zinasopaswa kuchukuliwa kwa mtu aliyena vyeti feki...badala ya kupiga kelele katika mitandao.
Hakuna mgomo ulishaisha! Sema bado kuna kamgogoro ndo kanipa mashaka kaa chama cha madaktari Kenya kusema why wanatoa madaktari Tz wakati kwao kina 1400 hawajaajiliwa....Tho ktb wa wizara ya Afya Kenya kakanusha tuhuma hizo ...sasa kumbuka hiyo habari ya kupingana si habari nzuri..mana madokta...
Hakina faida yoyote! Kinadai kipo kwa ajili ya kumtetea mtanzania kwa issue za kisheria. Cha ajabu kuna wakili anasota Kisongo kwa kesi ya kutakatisha pesa (ambayo ina dhamana).na kesi nyingi tu za watanzania zenye dhamana au kuhitaji msaada wa kisheria..sasa hapo pata picha mwanachama...
THE BOARD OF LAW IS ON THE WAY TO BE FORMED; THE BILL WILL SOON BROUGHT TO THE PARLIAMENT WHICH WILL SEE AUTOMATICALLY TLS DIE AND ADVOCATES REGISTER DIRECT TO THE BOARD. AND SHOULD TLS NEED TO EXIST HAS TO REGISTER AS AN NGO....
HAPO NDO UNAPOSIKIA MILANGO YA NDEGE IMEFUNGWA NO MORE BOARDING.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.