KNEC yasema cheti cha Sekondari cha Gavana Joho ni feki

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,082
164,403
Gavana wa Kaunti ya Mombasa, Ali Hassan Joho yuko hatarini kuzuiwa kugombea katika Uchaguzi Mkuu ujao baada ya Baraza la Mitihani la Kenya kusema Cheti chake cha Kidato cha nne ni feki.

Endapo vyeti vyake vya digrii vikifanywa batili Gavana hatoweza kugombea kwani kisheria Magavana wanatakiwa kuwa na Elimu kiwango cha Digrii.

Mkurugenzi Mtendaji wa KNEC, Ms Mercy Gathigia Karogo katika barua kwenda kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya jinai, Ndegwa Muhoro alisema kuwa wamegundua kuwa kopi za result slip zilizopelekwa kwa KNEC kwa uthibitisho zimetokana na waraka feki.

" Kutokana na ombi lako la kuthibitishwa kwa matokeo ya Joho Hassan Ali katika barua yenye kumbukumbu namba CID/SEC/4/4/3 ya tarehe 25 Januari, 2017.....Joho Hassan Ali hakusajiliwa wala kufanya mtihani wa KCSE mwaka 1992 ktk shule ya Sekondari ya Serani yenye usajili wa 160092024" alisema Ms. Karogo akinukuu rekodi kutoka Kanzidata ya KNEC.

KNEC iliikataa hati hiyo ya matokeo wakionesha kuwa Namba ya shule ambayo Joho anadai alifanya mtihani huo (Serani) ni 16032 na si 160092 kama ionekanavyo kwenye result slip hiyo.

=========

Mombasa County Governor Ali Hassan Joho is at risk of being blocked from vying in the forthcoming General Election after Kenya National Examination Council (KNEC) rejected the authenticity of his Form Four results slip.

A letter seen by Citizen Digital dated January 26, 2017, addressed to the examinations body by the Department of Criminal Investigations (CID) confirmed that Joho Hassan Ali was not a candidate at Serani Secondary School in the 1992 KCSE examinations as indicated in the results slip.

KNEC disowned the slip indicating that Joho’s purported examination centre- Serani Secondary School index number was 16032 and not 160092 as shown on the slip.

The news comes only two days after the Ministry of Education promised to help IEBC probe the authenticity of political aspirants’ academic certificates.

Education Cabinet Secretary Fred Matiang’i assured the electoral body that his ministry will set up a ‘24/7 available’ team to respond to IEBC’s queries relating to politicians’ education qualifications.

Governor Joho, a radical Jubilee government critic, is already embroiled in a series of run-ins with the government.

On Saturday, March 25, Kenya Revenue Authority (KRA) ordered CFC Stanbic Bank to freeze six of the governor’s bank accounts over tax liability issues.

The tax man is also investigating a bank account held by Governor Joho with Diamond Trust Bank over the same issue.

Early last year, Joho’s family got into serious trouble with the government over tax compliance of cargo freight stations in Mombasa.

The court prevailed over the matter and the cargo handling station – Autoport – was reopened.

The staunch opposition leader and Raila Odinga’s supporter has numerously engaged President Uhuru Kenyatta in nasty altercations over his tenure as the governor of the second biggest town in Kenya- Mombasa.

A fortnight ago, Joho was prevented from attending the re-launching of the Mtongwe ferry services in Mombasa, a function presided over by the president.

President Kenyatta spoke during the occasion, warning Joho of stern consequences if he persists with his ‘nagging antics.’

Governor Joho has repeatedly sworn to campaign against the government, which he accuses of running massive corruption and suppressing counties’ right to run their affairs.

At an ODM rally in Tononoka Grounds in Mombasa on Sunday, March 26, Joho together with opposition leader Raila Odinga said that the government has orchestrated a plan to topple Mombasa as an imports-exports hub in the country by moving the cargo handling business to a proposed inland port in Naivasha.

Source: Citizen TV
 
Haaa haaa haaaa

Afrika ni moja, mazigaombwe ni Yale Yale. Sarakasi ni zile zile.
Tofauti huwa ni muda tu wa kuyaonesha hayo mazigaombwe pamoja na uwanja wa kurukia hizo sarakasi ndiyo tofauti.

Lakini , kwa ujumla hatutofautiani tunavyoendesha nchi zetu zote za kiafrika.
 
Kuiga ndio nn vile, kwani tz imeisha mfukuza kiongozi gan mkubwa kwa kufoji au kukosa vyeti? Au ndio wameiga kwa bashite, au kwa wazir wa polis au kwa wazir wa hospital ambao majina wanayotumia sio yao?
 
NECTA wapo wamepigwa ganzi kwenye suala la Daudi Albert Bashite..
Mwizi maarufu wa cheti na Mhalifu wa Taaluma..
Rc wa Dsm.
 
Gavana wa Kaunti ya Mombasa, Ali Hassan Joho yuko hatarini kuzuiwa kushiriki katika uchaguzi mkuu ujao baada ya Baraza la Mitihani la Kenya kukataa uhalali wa Cheti chake cha Kidato cha nne.

Barua iliyoonwa na Citizen Digital ya tarehe 26 Januari 2017 iliyoandikwa kwenda kwa Baraza hilo kutoka CID imethibitisha kuwa Joho hakuwa mtahiniwa katika Shule ya Sekondari ya Serani katika mitihani ya KCSE mwaka 1992 kama inavyooneshwa kwenye hati ya matokeo.

KNEC iliikataa hati hiyo ya matokeo wakionesha kuwa Namba ya shule ambayo Joho anadai alifanya mtihani huo (Serani) ni 16032 na si 160092 kama ionekanavyo kwenye result slip hiyo.

=========

Mombasa County Governor Ali Hassan Joho is at risk of being blocked from vying in the forthcoming General Election after Kenya National Examination Council (KNEC) rejected the authenticity of his Form Four results slip.

A letter seen by Citizen Digital dated January 26, 2017, addressed to the examinations body by the Department of Criminal Investigations (CID) confirmed that Joho Hassan Ali was not a candidate at Serani Secondary School in the 1992 KCSE examinations as indicated in the results slip.

KNEC disowned the slip indicating that Joho’s purported examination centre- Serani Secondary School index number was 16032 and not 160092 as shown on the slip.

The news comes only two days after the Ministry of Education promised to help IEBC probe the authenticity of political aspirants’ academic certificates.

Education Cabinet Secretary Fred Matiang’i assured the electoral body that his ministry will set up a ‘24/7 available’ team to respond to IEBC’s queries relating to politicians’ education qualifications.

Governor Joho, a radical Jubilee government critic, is already embroiled in a series of run-ins with the government.

On Saturday, March 25, Kenya Revenue Authority (KRA) ordered CFC Stanbic Bank to freeze six of the governor’s bank accounts over tax liability issues.

The tax man is also investigating a bank account held by Governor Joho with Diamond Trust Bank over the same issue.

Early last year, Joho’s family got into serious trouble with the government over tax compliance of cargo freight stations in Mombasa.

The court prevailed over the matter and the cargo handling station – Autoport – was reopened.

The staunch opposition leader and Raila Odinga’s supporter has numerously engaged President Uhuru Kenyatta in nasty altercations over his tenure as the governor of the second biggest town in Kenya- Mombasa.

A fortnight ago, Joho was prevented from attending the re-launching of the Mtongwe ferry services in Mombasa, a function presided over by the president.

President Kenyatta spoke during the occasion, warning Joho of stern consequences if he persists with his ‘nagging antics.’

Governor Joho has repeatedly sworn to campaign against the government, which he accuses of running massive corruption and suppressing counties’ right to run their affairs.

At an ODM rally in Tononoka Grounds in Mombasa on Sunday, March 26, Joho together with opposition leader Raila Odinga said that the government has orchestrated a plan to topple Mombasa as an imports-exports hub in the country by moving the cargo handling business to a proposed inland port in Naivasha.

Source: Citizen TV
yeah, lazima waige toka Tanzania, our country is a role model in east africa
 
Ndo iko vile, vitu vinavyotoeka Tanzania baada ya muda Fulani utakuta Kenya nao wameshika bango, kama la vyeti feki nimesikia juzi kati ndo Kenya nao wameanza, nyie fuatilieni tu hata uchaguzi wao mengi yaliyokuwa yanasemwa na wanasiasa Tanzania mtayasikia yote Kenya, hawana mapya ya kujifunza, ndo maana hii EAC inakuwa paralyzed all the time.
 
yeah, lazima waige toka Tanzania, our country is a role model in east africa
wewe wajua maana ya neno role model kweli....hehe tanzania wavivu tuige nini kutoka kwenu? mind you, with all the resources that tanzania has, ata South Africa should not be anywhere near you but ofcourse waswahili ni wavivu kupindukia...alafu watamka neno role model.hehe umenichekesha..better call somalia a role model than tanzania
 
Eti Tanzania wavivu. Tuloshawahi omba msaada wa chakula kwenu? Au mmeshawahi sikia tunahitaji wafanyakazi toka Kenya?
 
Back
Top Bottom