Nakumbuka enzi hizo nasoma Mara Sec.. yaan mnawaza kugombana na Musoma Tec. Sababu zenyewe za maana hakuna yaan mkikutana..ndo tuseme kwenye UMISSETA mazee yaan mnapeana kichapo cha mbwa mwizi..nakumbuka game ilipigwa Musoma Tec tukamvunja jamaa Yao mguu.Ebwanaee jamaa Hawakujua mambo ya...
kwa nini msifanye utafiti wa kujua kama tanzania tuna rasilimali ya mafuta, utafiti kujua hatma ya jairo, utafiti kujua mgawo wa umeme utaisha lini, utafiti kujua watanzania wangapi wanakufa kwa njaa....badala yake mnakuja na tafiti za kibwege kama hizi....shame on you!!!
Nafanya kazi Dodoma,my wife na watoto wako Moro..Nimefanya hivi kwa vile Moro nina Nyumba na wife anapiga vibiashara pale..Nimehamia Dom Kama mwaka mmoja uliopita.Nategemea kuileta familia baada ya kujipanga make nyumba Dom gharama... Nimekuwa naenda Moro Kuwasalimia (of course kuimarisha ndoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.