Hodiii, mwanamke komando nimeingia JF

teh teh sijui kwa nini nimepata picha ya wale wanawake wanaofanya power lifting..walivyojazana kibaunsa...hahaaaaaaaaaaaaaaa karibu mamie
 
Karibu hapa ndo jamvini na kwa kuwa wewe ni komando najua style zote unaweza kusimama, kuchuchumaa, kukaa n.k
 
Karibu Pia Ni vizuri Ukianzia na Jukwaa la Wakubwaover 18. Najua ndio Dhamira yako Kuu ya u Komandoo wako
 
Hii mikwara bubu au? Nwy feel at home, karibu sana ila vua viatu mlangoni usiingie navyo maana ntakuchapa makonde ukituchafulia sakafu.

Mimi ndo mkubwa humu, ndo mzaliwa wa kwanza aka First Born, wengine wote ni wadogo zangu, umesikia?
 
Asanteni sana wana jf kwa kunikaribisha kwa mikwara pia hahaaaa, naogopa kujisikia niko nyumbani maana huko kwetu ni shida tupu, najisikia niko jf, mimi ni komando wa ukweli, kwa hoja na mabusiness pia jina linajieleza hahhaaaa
 
Hahahaaaaa, first born huwa wanaviherehere, tena wakiwa mamanager surbordinates wake watakoma kutumwa hovyo, nimewazoea pia, thanks.
 
Bora wewe mamito umapatia kidogo, wataarifu gatzby, raisiwapemba wasiendelee kunichokoza nitadeal nao kikomandoo
 
Karibu acha vitisho huku angalia kuwa akina masanilo/fidel80 na wengine wengi wasije tu waka kukomandua...acha speed hizo...karibu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom