Recent content by Pudental

  1. Pudental

    JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya mpango wa sakata la CWT??

    Tarehe 25-05-2026 Viongozi waandamizi(wakuu) wa chama cha walimu Tanzania yaan kuanzia Raisi wa chama,katibu mkuu pamoja na muweka hazina Taifa ikiwa ni sambamba na viongozi waliopita (Rais na katibu mkuu wake) walifikishwa mahakaman na kusomewa mashtaka ya uhujumu uchumu na matumizi mabaya ya...
  2. Pudental

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtekaji wa Sativa inadaiwa yuko chini ya ulinzi

    Jeshi linamkata yeyote ambae ni tishio kwa nchi ukae ukijua hilo , Yaan hata Raisi akizingua wanamkamata wanakaa naye kizuizini sasa unaongelea mafwele? we namna gani
  3. Pudental

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kusema kosa la Polepole?

    Wewe kichwa yako inashida sana, hilo ndio kosa? matako yako
  4. Pudental

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Alichokifanya Gwajima ni “Insubordination” kwa mwenyekiti wake wa chama. CCM imuite na kumhoji azungumze uhalisia

    Vyovyote vile mtakavyo ona nyie ,Lakini Gwajima kaongea ukweli uliopo bila kujali mmefurahishwa au kuchukizwa ,He is right ,Habari za kukopa kwa enzi za waliopita zilikuwa sio kwa hii speed ya sasa ,yet mnataka watu wakae kimya shame on you ,wanaonufaika ni ka kundi kadogo ka watu halafu watu...
  5. Pudental

    JamiiForums Tanzania Nimepiga marufuku watoto wangu kwenda kanisani

    Hakuna anaekupinga lakini watoto wako wana bahati mbaya ya kuwa na baba mjinga kama wewe
  6. Pudental

    JamiiForums Tanzania Msaada; Shida ya mkojo unanitesa sana

    Nenda Kairuki hospital onana na daktari wa njia ya mkojo yule jamaa ni master sana naamini utakuwa vizuri
  7. Pudental

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali mulikeni kiwanda cha pombe cha Kingdom kilichopo Kalobe Mbeya

    Akili zako ni mzigo kwenye kichwa chako , au hujui maana ya PAYE hujui umuhimu wa michango kupelekwa mifuko ya watumishi hujui umuhimu wa Osha ?
  8. Pudental

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uhamiaji nendeni nyumba za wageni za Mbagala Zakhem kagueni kila usiku mtakuta Wasomali na Waethiopia wamefichwa kusubiri kusafirishwa

    Umekurupuka kumjibu Mtu kuwa mzalendo kwa nchi yake haitaki uwe tajiri au masikini acha pigo za kishoga
  9. Pudental

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Tatizo vijijini tunakotoka wanatumia Voda sana sasa unajiuliza nikihama voda kule kijijini mzazi ataweza kujiunga bando la mitandao yote? Kwa hiyo mitandao mingine iji supply kama voda then watapotea kidogo kidogo
  10. Pudental

    JamiiForums Tanzania WALIOFANYA VIPIMO TWALIPO (JWTZ)Z Je kuna alie itwa?

    Hapana sio mimi bali kuna bwana mdogo wangu ndio alipita usaili anangoja outcome
  11. Pudental

    JamiiForums Tanzania WALIOFANYA VIPIMO TWALIPO (JWTZ)Z Je kuna alie itwa?

    Habari wana JF naamini kuna watu uzi huu hauna mashiko kwao kwa hiyo komenti iwe fupi fupi kidogo Waliofanikiwa kupita interview hadi kwenda kwenye vipimo je kuna aliekwisha itwa?(Medical personel wa 2018 Dec)
  12. Pudental

    JamiiForums Tanzania Petit man amuoa mtoto wa Gardner G Habash

    Wafu watazika wafu wenzao#haina uhusiano na post
  13. Pudental

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Madaktari wa Binadamu kwa jeshi la wananchi wa tanzania (JWTZ)

    wadau naomba kuuliza kama mwenye diploma of medicine(C/Officer)anaweza kwenda hiyo siku kujaribu bahat maana wametaja zahanati na vituo vya afya ambapo MD sio mahala pake pa kazi
  14. Pudental

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamatwa na Jeshi la Polisi

    Hii NCHI ilipofikia MUNGU ndio anajua maana mmmmmmmmmh!!!!!!Usiseme umesema vibaya ukatumia taaluma yako umefanya UCHOCHOZI
Back
Top Bottom