Nani anaweza kusema kosa la Polepole?

Nani anaweza kusema kosa la Polepole?

kosa la polepole ni kujaribu kuweka wazi sababu za kifo cha magufuli...

kuweka wazi ufisadi wa rostam...

kuweka wazi makosa ya ccm kwenye uteuzi wa mgombea uraisi...

na mengine...
Ayo ndo makosa yake kama kweli ndo makosa watanzania ni maiti tunashidwa kumlinda mzalendo pol
 
Yaani vyombo vya Dola vilitakiwa vifuatilie hizo Mali ama raslimali za nchi zilivyobinafsishwa ziweke wazi namna ya asilimia tunazopata.
 
Anzisha maandamano kesho ya kumdai Polepole, usitutegemee sisi
Watu wenye viburi kama wewe walikuepo toka zamani ila mwisho wa siku nao ufa kama wengine tena wengine ufa vifo vibaya sana
 
Kuna picha moja ilionekana kaweka kidole kati kati ya tundu la vidole vyake.
 
Mara nyingi hizi retarded nations/shithole countries/failed states huwa zina maana nyingine kabisa ya maneno uzalendo na uhaini.

Uzalendo ni kutetea uovu unaofanywa na kundi la wahuni wanaoitumia serikali kama rubber stamp kwa mslahi yao binafsi...

Kitendo cha kuexpose uchafu wa aina yoyote ile unaofanywa na genge la watu wenye nia ovu walioiteka serikali, ni uhaini mkubwa sana.

Tunaishi kwenye taifa la ovyo sana, ni aibu hata kujivunia kuwa mtanzania.
 
Anavuna alichopanda. Tulimwambia sema yote sepa zako. Mwenyewe akajifanya kuleta tamthilia. Ona sasa wahuni wamepita nae.

Ukiamua kumwaga mchuzi binua kabisa bakuli, sio unamimina.
Huu ndio ukweli jamaa anaenda kufa bure kabisa. Alitakiwa kusema mabaya yote yaliyofanywa kipindi cha Magu na atubu dhambi. Kuuliwa kwa Ben saanane kupigwa risasi kwa lissu n.k. Sasa unaenda kufa kwa kusema mambo ambayo yashasemwa. Huyu jamaa mnisamehe alikuwa hana mtu wa kumshauri. Huyu alitakiwa aje na siri nzito pamoja na ushahidi wa mambo makubwa yaliyofanywa kipindi cha Magu. Na akiri "tatizo sio mtu ni mfumo". Sasa mtu anakuja na kampeni tatizo ni mama samia . Halafu anafia kauli za kipumbavu. Tatizo sio samia, tatizo ni mfumo wa serikali ambao umetekwa na CCM.
 
Kosa la Polepole ni kuusaliti mfumo aliokuwa anautumikia. Ukikubali kufanya hizo kazi inabidi uishi na siri hizo hadi umauti ukukute.

Ni wapi umewawasikia watanguluzi wa hizo nafasi wakiropoka hovyo? Uliyoyaona kwenye mfumo ni siri ya mfumo
Wewe kichwa yako inashida sana, hilo ndio kosa? matako yako
 
Polepole alikua anasema wahuni ndo kosa lake Je ni kweli wahuni wapo walikua wanachukia anayoyasema?

Kwa hiyo maneno ya Polepole yalikua yana Ukweli sio propaganda za kisiasa. Kama ni kweli polepole katekwa basi tunakubaliana Polepole yote aliyokua anasema ni kweli.

TANZANIA tuna safari ndefu sana Polepole pamoja kusema ukweli wote vyombo vya dola ndo vilitakiwa kufanyia uchunguzi kuhusu masuala aliyokua anasema Polepole lakini vyomba dola kimya viapo vyenu vyombo vya dola kwa ajili ya nchi sio kikundi cha watu flani nimesikitika kumbe hatuna Vyombo vya dola tuna vyombo kwa ajili watu flani inasikitisha sana. POLEPOLE kosa lake ni kusema jamani kuna wezi wa rasilmali za nchi mtu anayewaonyesha mwizi ndo anakua mtu mbaya hii imeishangaza sana baada ya kuitwa kupewa ongera kwa kua mzalendo kwa nchi yake ndo anageuka kua adui hivi viapo kwenye vyombo vya Usalama vijitafakali
Ngoja nianze kumuuliza Mwashambwa?
 
Sio Africa karibia Dunia nzima kumbuka Jamal Kashogg.

Bob Marley
Malcom X
Nk

Ukiponda Wenye nguvu na kutoa Siri zao au kupitia kwenye maslahi Yao hauachwi salama.
Kashoggi ni Saudia Arabia, wewe utamsema MBS halafu uwe salama, na unajipeleka ubalozini kwao? Angalau nchi za Magharibi, Ulaya, USA, UK, NZ, Australia watakukamata halafu upelekwe mahakamani ukajibu shtaka. Huu utaratibu tulionao sasa Tanzania ni mbaya, utakachofanya kuikosoa serikali hata kama ni jambo la kweli adhabu yake ni kifo.....Hakuna tena kupelekwa mahakamani, unatekwa na kupigwa vibaya sana, kubakwa, kulawitiwa, kuteswa na mwisho kuuawa na maiti kutupwa kwenye mamba. Samia na wenzake wameleta system mbaya sana nchi hii, haya mambo ya kutekana yalianza wakati wa Jakaya Kikwete, akafuata Magufuli na sasa Samia. Shame on them, watakufa vifo vibaya sana.
 
Kiini cha yote ni kuwa Polepole hakuridhishwa na namna Samia alivyoteuliwa kuwa mgombea Uraisi.
Alitaka Samia akae pembeni kwasababu alishatumikia cheo cha juu kwa miaka 10. Na destur ya CCM ni kuachia ngazi ukishatumikia miaka kumi kwenye uraisi. Uwazir mkuu. Au Makam wa rais.
(Refer na Majaliwa kukaa pemben).

Kwakuwa Kikwete ndio alipanga huu mpango wa Samia kuendelea. Polepole Akaanza kumuattack Kikwete na kutoa namna CCM mtandao inavyofanya ndan ya nchi hii.

Tuhuma nying zilikuwa ni wana Mtandao.
Hizi nyingne alizokuwa anasema sema ni kwakuwa alitaka asikike zaid. Ndio maana akawa anagusia ya Lissu . Na tuhuma za kuuliwa magufuli nk nk.

Mm nadhan alikuwa anajua ni nani alikuwa ameandaliwa baada ya Magufuli kuacha Uraisi 2025..
Na huyo aliyeahidiwa alikuwa ameshamuahidi Polepole nyadhifa kadha wa kadha.
Sasa alivyoona ndoto zimekufa ndio akacharuka namna hii.
 
Kosa la Polepole ni kuusaliti mfumo aliokuwa anautumikia. Ukikubali kufanya hizo kazi inabidi uishi na siri hizo hadi umauti ukukute.

Ni wapi umewawasikia watanglizi wa hizo nafasi wakiropoka hovyo? Uliyoyaona kwenye mfumo ni siri ya mfumo
Kwa hiyo wametengeneza hiyo mifumo Ili walinde maovu Yao?? Pole pole ameongea baada ya kuona nchi inateketea unaweza kuhesabu hilo ni kosa?
 
Kwa hiyo wametengeneza hiyo mifumo Ili walinde maovu Yao?? Pole pole ameongea baada ya kuona nchi inateketea unaweza kuhesabu hilo ni kosa?
Anaongea baada ya kutolewa u-Katibu Mwenezi? Haya alipaswa ayaongee akiwa kwenye Serikali ya Magufuli.

I can assure you kama Polepole asingeondolewa nafasi ya Katibu Mwenezi asingesema hayo anayosema.

Muache anywee kikombe alichowanywesha wenzie akina Ben Saanane
 
Anaongea baada ya kutolewa u-Katibu Mwenezi? Haya alipaswa ayaongee akiwa kwenye Serikali ya Magufuli.

I can assure you kama Polepole asingeondolewa nafasi ya Katibu Mwenezi asingesema hayo anayosema.

Muache anywee kikombe alichowanywesha wenzie akina Ben Saanane
Uzuri duniani wote tunapita
 
Kosa la Polepole ni kuwaletea taarifa Watanzania jinsi nchi ilivyoharibiwa na genge la Samia.

Kosa lake ni kutafuta muafaka wa kitaifa, maelewano, maridhiano ya wadau na wananchi wote kabla ya uchaguzi, ili kurudisha taifa kwenye mstari, tusidumbukie kwenye machafuko.

Kosa la Polepole ni kupigania haki, uwajibikaji, utawala wa sheria, uhuru wa kujieleza, maisha bora kwa kila Mtanzania, kosa lake ni kupinga utekaji, utesaji, mauaji na ufisadi mkubwa unaondelea sasa hivi Tanzania.
 
Kosa la Polepole ni kuwaletea taarifa Watanzania jinsi nchi ilivyoharibiwa na genge la Samia.

Kosa lake ni kutafuta muafaka wa kitaifa, maelewano, maridhiano ya wadau na wananchi wote kabla ya uchaguzi, ili kurudisha taifa kwenye mstari, tusidumbukie kwenye machafuko.

Kosa la Polepole ni kupigania haki, uwajibikaji, utawala wa sheria, uhuru wa kujieleza, maisha bora kwa kila Mtanzania, kosa lake ni kupinga utekaji, utesaji, mauaji na ufisadi mkubwa unaondelea sasa hivi Tanzania.
Mtu anakwambia unaibiwa ndo anageuka kua mbaya dunia hii Tumerogwa
 
Back
Top Bottom