Nafasi za Madaktari wa Binadamu kwa jeshi la wananchi wa tanzania (JWTZ)

wadau naomba kuuliza kama mwenye diploma of medicine(C/Officer)anaweza kwenda hiyo siku kujaribu bahat maana wametaja zahanati na vituo vya afya ambapo MD sio mahala pake pa kazi
 
wadau naomba kuuliza kama mwenye diploma of medicine(C/Officer)anaweza kwenda hiyo siku kujaribu bahat maana wametaja zahanati na vituo vya afya ambapo MD sio mahala pake pa kazi
Wa Diploma hapo huna chako mkuu waache wenye vi degree vyao wakajaribu bahati zao.
 
Apo jeshi nimelisifu

Hatuwez kua nawasomi kibao halafu jeshini kunawatumishi wa afya level za certificate

Kunamigomo ya madaktari hutokea sasa hulipa shida sana jeshi maana watumishi ni wachache yakatokea kama ya kenya nk

Majeshi yaongeze wataalamu maana dunia inabadilika
 
Ina maana mtu kama ana sifa zoote walizohitaji na yupo JKT hawamchukui?heeh hili itakua ajabu la dunia sasa!!au waonzam yao inakuja
 
Hii issue inawaumiza sana walio makambin Kutwa kukoma na kaz za watu mwisho cku ndo hivyo hili suala wa litazame kwa upana wake kwa kweli kuna ma IT,engineers jkt ,wahasibu ,ma doctors wamejaa kwa nn nao wasipewe nafasi
 
Acha tu wanaonekana wamekosa ajira ndio wakakimbilia huko kumbe wala, wameamua kujipendekeza tu...
 
Back
Top Bottom