Recent content by pucheon

  1. pucheon

    Baada ya Loans Board kufanya yao jana hii ndio tofauti ya Diploma na Degree kwa Walimu

    We jamaa umetumwa nn?tatizo sio kufanana mshahara na diploma tatizo mda aliotumia kuipata hiyo degree na fedha za ada alizotumia huku akiwa na matumain ya kupandisha mshahara wake ila matokeo yake imekua kinyume na matarajio yake ndo mana watu wanacomplain...kwa maana nyingine haina maana ya...
  2. pucheon

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Jaman muwe na subira mwez wa pili ndo huu kila kitu kitakua sawa ...mimi nipo hapa dodoma pia ni muhanga wa hiyo kitu mr.chugara(anaehusika na kuamisha watumishi tamisemi) kanihakikishia mwez huu tutahama na kupandishwa madaraja yetu yaliyosimama tangu mwaka jna
  3. pucheon

    Kwanini wanaume hupenda kuangalia makalio?

    Una uakika gan kua aliemuumba still anamwangalia...afu mwingine aliumbwa vizr tu but anajimoderate ndo humtokea vya kumtokea apo huwez mlaumu muumba baba alie mbinguni
  4. pucheon

    Kwanini wanaume hupenda kuangalia makalio?

    Mmoja wapo huyu hapa anaitwa miss chaga
  5. pucheon

    Kwanini wanaume hupenda kuangalia makalio?

    Msambwanda ni kama apetizer kwenye msoc..msoc uliokosa apetizer huo sio mtamu..kwa mfano huyu hapa ukipishana nae unataman ufumbe macho
  6. pucheon

    Kwanini wanawake hawawapendi ndugu wa mume?

    Mi napata ukakasi kukubaliana na wewe kua eti ni asili yao na wakulaumia kwa ili ni mungu aliewaumba ivyo na sio wao.....basi kama ni ivyo wangekua wote ila mbona wengine wako nomal hawana tabia kama iyo, acha kumcngizia mungu bhana mc Tilly chizenga hiyo ni hurka ya mty mwenyewe
  7. pucheon

    Kwanini wanawake hawawapendi ndugu wa mume?

    Diva wape vidonge vyao hao wanakera kinoma
  8. pucheon

    Kwanini wanawake hawawapendi ndugu wa mume?

    Kwa utafiti mwingi nilioufanya japo sina data za kupresent hapa lakini kuna haka katabia cha wanawake wengi walioolewa kutowapenda ndugu wa mwanaume hasa linapokuja suala la kuwasaidia kifedha na hata kimawazo. Hua wanaonyesha waziwazi kuchukizwa endapo mwanaume ataamua kuwasaidia ila ikitokea...
  9. pucheon

    Raha na Faida za kuwa single kwa muda mrefu

    Hiyo papuchi unaitumiaje mwenyewe kwa mfano miss natafuta...acha kuchekesha walionuna
  10. pucheon

    Single mothers, ni nini chanzo?

    Naunga mkono asilimia mia hawa wenye tukazi mjin vibur na kujifanya wao wanaweza kuendesha maisha bila mwanaume kumbe hawajui familia bila baba is like house without pillar mwisho wa siku itaanguka tu
  11. pucheon

    Huyu kaka hataki tuachane, nifanyaje?

    Mnyime papuchi tu mwenyewe atasalenda..maana wanaume wengi bila papuchi hamna mahusiano
  12. pucheon

    Harufu ya kumvutia mwanamke kimapenzi

    Iz perfume ni kwel zina harufu nzur na mtu hua anajikuta anakupenda na ataki kubanduka ulipo...kipindi zinaingia nchini zilikua so expensive cjajua now
  13. pucheon

    Kwanini wanawake wanajiondoa kwenye makundi ya mapishi?

    Weka picha umevaa sketi na kitopu hawataleft tena
  14. pucheon

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Mwez wa pili wanaachia kila kitu kuanzia madaraja, uamisho na kuajiri so kua na aman mwalimu kama una mizigo anza kupanga maana mwez wa pili c mbal
  15. pucheon

    Hatimaye Angela Kairuki ataja muda wa ajira za walimu wa Sayansi

    Ucjal mwalimu ajira mwez wa pil zinatoka ila kwa wale waliohakikiwa vyeti vyao na huakiki mwingine utafwata mwez wa sita na ajira mwez wa saba shule zitakapofunguliwa...nawasilisha wapendwa
Back
Top Bottom