Harufu ya kumvutia mwanamke kimapenzi

Harufu ya kumvutia mwanamke kimapenzi

Salamu zenu wana JF.
Karibu tena leo tuongelee harufu inayoweza kumvutia mwanamke au jinsia tofauti kimapenzi.

Tofauti ya maneno matamu na kuwa na body zuri kitu kikubwa kinachoweza kumvutia mwanamke na kutaka kuwa na wewe ni harufu.

Wanasayansi na wanasaikolojia wamefanya utafiti na kugundua harufu ya pheromone hutumika sana kuvuta jinsi tofauti.

Watengenezaji wa perfumes wamekuwa na ujanja huo wa kuchanganya na pheromones ndani ya perfume.

Hii harufu hutumiwa na wanyama kwa ajiri ya kuvutia mwenzake kimapemzi.

Ukipata perfume iliyo na hii harufu hakika inaweza kukusaidia sana. Si tu katika kuvutia kimapenzi hata katika mikutano kama unataka upate attention kubwa piga perfume hii.

Hii ni issue ya kisaikolojia na sayansi siyo uchawi. Maana harufu hiyo inapenya kwenye cells za mwili na kufanya akili iweze ku react.

Kama unataka kupata mwanamke kirahisi tumia hii perfume yenye pheromones utakuja kuniambia.

Hata wanawake pia wanaweza kufanya vivyo hivyo.

Nawasilisha hoja mezani.
Zinapatikana sasa?
 
Mimi niko allergic na vitu hivyo, natumia mizizi ya kwa babu tu na nina waokota mademu mpaka kero.
 
Sawa.nimekuelewa.ntafanya utafiti kabla.
 
Wacha nipite maana nikianza kumsifia mbeba box wangu nitasutwa hapa maana anavyonukia mmmh kyu.p lazima i.l.o.w.e
 
Hakuna kitu kama hicho. Fanya research hata kidogo utaelewa naongelea kitu gani.

We ulifanya research yako wap, data ulipata wap
Tupe basi nasi hicho zanzo chako cha habar au data na majibu yake
 
3a11a91042fd0285541fef90667a268f.jpg

Hii ndiyo harufu pendwa mkuu usihangaike sana [emoji12] [emoji385]
 
I dress,smell,look good for me,myself and I.
 
Iz perfume ni kwel zina harufu nzur na mtu hua anajikuta anakupenda na ataki kubanduka ulipo...kipindi zinaingia nchini zilikua so expensive cjajua now
 
[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom