Kwanini wanawake wanajiondoa kwenye makundi ya mapishi?

Bahati lucky

Member
Jan 22, 2017
16
13
Kwa kuwa niko single nimejikuta napenda sana kupika chakula kitamu, nikawa nimepata link moja ya group la mapishi whatsApp nikajiunga.

Majaabu niliyoona ni kuwa pamoja na kuwa kundi liko hot kwa kuleta mapishi mbalimbali lakini akina dada wetu wana LEFT kila siku.

Nimeshindwa kupata MAJIBU.

NAOMBA KUPATA MAWAZO KATIKA HILI.
 
Na wewe bora uleft,wenzako wanafwatwa sana inbox then wanaamua wasepe
 
Baadhi ya wanawake na Wanaume waliopo kwwnye magrup kazi yao kudaka namba na kuzisambaza kwa watu na picha wanazochukua kwenye profile ya mhusika ni usumbufu mwingi kwelikweli. (Ukuwadi)
 
Kwa kuwa niko single nimejikuta napenda sana kupika chakula kitamu, nikawa nimepata link moja ya group la mapishi whatsApp nikajiunga.

Majaabu niliyoona ni kuwa pamoja na kuwa kundi liko hot kwa kuleta mapishi mbalimbali lakini akina dada wetu wana LEFT kila siku.

Nimeshindwa kupata MAJIBU.

NAOMBA KUPATA MAWAZO KATIKA HILI.
naomba link nijoin
 
Back
Top Bottom