Wengine wanalilia yy anakataakaz ipo
Naweza kuja pm kuomba papuchi ya rebound?!My dear @eslyjonathan mwanaume hakomolewi!
Cha kufanya mfanye your rebound guy!
Ye si hataki kutoka wewe mpotezee muache akituma sms akipiga usipokee mtafute kwa time zzako wewe!
Move on na mtu mwengine kabisaaa, ila ukiskia nyege mtafute mpe papuchi mkimbiieee
Iyo inaitwa Team Bubaa!
Hunitaki?!Hehe. Ngumu kumeza
Mkuu bora umesema kama ndo ivi walah acheni wajae mtaani bila ndoa maana hawajielewiKwa akili hizi umepata mtu wa kukuoa,unamkataa?
Point baadae nione ubugie dompoBaada ya miaka kadhaa utaanzisha thread ya kutafuta mume
Ndio broHunitaki?!
Sura yangu mbaya?!Ndio bro

Mpaka kufikia hatua hiyo ya uchumba ina maana wazazi wa pande mbili zote wanayo taarifa ya mahusiano yenu. Inakuwaje kuja kuomba ushauri mtandaoni badala ya kuwashirikisha wao maana huko ndo ingekuwa sehemu muafaka. hayo ni maoni yangu tu mkuu.Niko kwenye mahusiano ambayo kiukweli siyafurahii hata kidogo, huyu kaka ananipenda ila kuna tabia zake za kuwasiliana na wanawake naamanisha akipigiwa simu namba huwa anafuta na mimi ni bonge la mpekuzi.
Isitoshe siku ya J2 ya wiki hii anakuja kutoa mahari na kunivisha pete na nilishamwambia kuwa tuachane hataki.
Nifanye nini ili tuachane na sina mpango wa kuja kumzalia mtoto, na siku ya jana niliamua kumsaliti na mwanaume wangu wa utotoni.
Nilimpa taarifa kuwa naenda kulala na mwanaume mwingine baada ya kuona huyo dada akimpigia simu then akaja kumzimia baada ya kuona ugomvi ukaanzia hapo.
Naombeni mnishauri lengo langu ni kuachana naye ila yeye hataki tuachane, nimfanyie kitu gani kitakachomuumiza moyo wake mpaka anyooshe mkono juu asepe aende zake.