Kwanini wanaume hupenda kuangalia makalio?

Kwanini wanaume hupenda kuangalia makalio?

Ila msambwanda ukiwa ndani ya dera, ni naona huwa ndio unanoga zaidi.
Maana humo ndani huwa ni kweupe, wakijitahidi sana, bikini tu!

However, sio kila mtu anayevutiwa na hilo
wapo wanaochanganywa na reception, na kama amebarikiwa rangi, kazi kwisha!
Ngoja nivute kiti mzee mwenzangu tusemezanee
 
Ngoja nivute kiti mzee mwenzangu tusemezanee
mnasemesana vipi sasa hapo.

hili swali linaenda kwa Daby only and I repeat Daby

na wewe unataka kuangalia naniliu ya huyo jamaa????

hahahahahahahahha
 
mnasemesana vipi sasa hapo.

hili swali linaenda kwa Daby only and I repeat Daby

na wewe unataka kuangalia naniliu ya huyo jamaa????

hahahahahahahahha
Wewe unajua heshima za kiafrica! !wanaume wakivutana pembeni unatakiwa kuficha uso kwa aibu.

Ila vipi msabwanda upo! !![emoji1][emoji1]
 
Wewe unajua heshima za kiafrica! !wanaume wakivutana pembeni unatakiwa kuficha uso kwa aibu.

Ila vipi msabwanda upo! !![emoji1][emoji1]
hahahahahaha, si umesema nifiche uso? nimejificha mzima mzima hata hiyo msambwanda haiwezi onekana.

hujajibu swali langu lakini, mnataka kusemezana nini au ndo unataka kuangalia kitu hapo.

Bwana shemeji angalia hii mambo usiangukie kwenye mikono ya sheria
 
Haha...wewe mikono ya sheria haiwezi kunipata napita njia sahihi.

Nitauchungulia pm! La ng'ombe halifichiki.
 
Haha...wewe mikono ya sheria haiwezi kunipata napita njia sahihi.

Nitauchungulia pm! La ng'ombe halifichiki.
njia ipi hiyo sahihi mada hii inahusu misambwanda wewe unamuita mzee mwenzako pembeni.

hahahahhahaa nimewaza tu kwa sauti.
 
hahahahaaa, mkuu kwa mwanaume katika 100, akifanikiwa 99 bado atalalamika sana kumkosa huyo mmoja???
Kuna jamaa alisema mwanaume hata umpe madem ote wa jf bado atatamani wa fb nadhani ni hali tu inatokea
 
Mimi huwa najiuliza kuna uhusiano gani kati ya tako la mwanamke na mapigo ya moyo ya mwanaume?
 
njia ipi hiyo sahihi mada hii inahusu misambwanda wewe unamuita mzee mwenzako pembeni.

hahahahhahaa nimewaza tu kwa sauti.
Tunataka tuangalie waliovaa madera humu ndani. Tuone kama yaliyomo yamooo? ??
 
Tunataka tuangalie waliovaa madera humu ndani. Tuone kama yaliyomo yamooo? ??
hhahahahahaha kumbe unaenda kupata maarifa bwana shem,

nimekupata sana sasa. Halafu unajua kujitetea vizuri sana. kila swali umejibu vzr.

Congrats sana.

Case closed.
 
Kama Marekani pamoja na kuwa na jeshi kuuuubwa lenye kila kitu lkn bado anaangalia majeshi ya nchi nyingine......
Sasa itakua sisi wanaume jamani.... Hebu achana na hili swali, hua tunaangalia uimara wa jeshi la adui
 
hhahahahahaha kumbe unaenda kupata maarifa bwana shem,

nimekupata sana sasa. Halafu unajua kujitetea vizuri sana. kila swali umejibu vzr.

Congrats sana.

Case closed.
Jifunze kujitetea ujue muda wowote unaweza kutajwa na makonda.
 
Msambwanda ni kama apetizer kwenye msoc..msoc uliokosa apetizer huo sio mtamu..kwa mfano huyu hapa ukipishana nae unataman ufumbe macho
IMG-20160830-WA0004.jpg
 
Kila siku najuliza sijui makalio yana uhusiano gani na macho utamkuta mtu yupo na mkewe nae anatako kubwa tu ila kakipita kabinti kengine kana kijikalio mtu lizima ageuke upo kwenye daladala mdada kakatisha lizima ugeuke.

Naombeni kujua uhusiano kati ya makalio na macho.
macho hayana pazia
 
Back
Top Bottom