Recent content by prudnc

  1. P

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Voda ni wehu wanatubadilishia bando yani wanataka kutulazmisha matumiz sio fair ivo kumbukeni voda ndo mtandao uliotapakaa mpk vijijini mnawatesa walalahoi. Kwel naamini kua vodacom kazi ni kwetu.na tutahamaa
  2. P

    JamiiForums Tanzania Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

    Wamezoea utapeli walijua kila kitu cha kutapeli hahaaaa poor em nigerians.hahahaaaaa we run Africa ts idriss ts dimond bado miss world watimanywa lazma achukue la Africa,.:D:p
  3. P

    JamiiForums Tanzania Bukoba sirudi tena ng'o

    Nakusapoti bukoba ni kubaya jmn tofauti usinigambile stupid infront of my wife wanavojifanya mjini. Sipapendi pia nkienda kule labda napita njia .ni kubaya hata gairo pazur
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu wa zamani nikimkumbuka najiskia vibaya

    Tafuta ndimu itakusaidia
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raha ya kutongoza na kutongozwa

    Hahaaaa Hata kwetu waaapo
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitakwepaje hili kwa my x?

    Jikip busy,pendeza mpk ashangae ka kuna wavulana uliozoeana nao kua close nao yani wafanye mabest ili akikuona akuone uko hapy,stil beautful n huna habar na mtu cz una kampany ya kumpa yy mawazo we huku unadunda tu. pole sana na jitahd kumkwepa na usimuwaze utafeli focus na shule
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumuweka mume wako kiganjani

    Shughuli ipooo
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania huyu mwanaume ananishangaza

    I blv in friends btn man n woman.. Kikubwa ni we kama mwanamke kua na msimamo cz mwanaume kutongoza au kuntamani mwanamke kwao ni kama pai na ukimpa hakatai lakn wewe ukiwa na msimamo hatokung'ang'aniza na heshima itaendelea kuwepo we mpk umeleta hii thread hapa unaonekana unavutiwa nae pia...
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: King'amuzi cha mrembo kimenitisha

    Atakua mngoni tu usishangae ni mila za watu izo wanavutwa wakiwa wadogo ili kumfanya apate raha during sex ni kitu cha kawaida kwa wanawake wa kingoni.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Clouds Wanadhalilisha Taasisi ya Urais

    Hata mm linanikwaza kwakwel.. Hua cluds hawatumiagi akili kbs cjui wanadhan tangazo likitangazwa na raisi ndo kweli watakua ivo. So so boring....
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake wengi wachoyo?

    Atakua mkeo tu ndo ana mkono wa birika asa we unamuachia elf2 ya matumiz na unajua mkeo ni kaseja apo anahitaj kufanya marejesho akabunue dera etc unategemea atatoa wap?? Jiangalie ukija na uzi wako apa jf uwe umefanya research sio unajurupuka na kusema wanawake sema mke wangu.
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa KISUKUMA muache UZOMBIE! Huo sio ujanja kabisaa!

    Wasukuma oyeeeeee Na mtuache tulaleeeeee Mtaipandeka team sukuma beiiiibyyy Ndo cc wazee wa vicent
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Guys mnaoacha girls wenu kimya kimya

    U knw ts ova wen he starts igboring ur calls or reply txts n wen u ask utaambiwa nlikua cna crdt U knw ts ova wen he starts bad side of u always no goodids 4u U knw ts ova wen he stay 4mo than a month n he tells u nathn abt sex n relationship(ujue keshapata kitu kipya) U knw ts ova wen he no...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli ntakufa 2014 April???

    Umeota ivo kutokana na maumivu makali ya tumbo yaliyokupelekea kuhc kufa kufa so ikemee hyo ndoto ishindwe c mpango wa Mungu.
  15. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana miaka 32 anaswa na bibi kizee miaka 80,kijana atembezewa kichapo na wajukuu

    Ng'ombe hazeeki maini,wamuache jmn bibi wa watu..
Back
Top Bottom