Nitakwepaje hili kwa my x?

Nitakwepaje hili kwa my x?

habari wakuu,
ni miezi zaidi ya mitano tangu niachwe,
nimeumia hadi nimekuwa sugu,kinachonileta kwenu ni hiki,
wiki moja baada ya kuachwa kabla hatujaenda kwenye research my x alinambia eti kuna mwanamke anamtaka afanyeje?nilichukia sana nikamjibu mkubalie,
akadai nitamcheka ,
ninachoomba ushauri ni VP nitamkwepa huyu maana nasoma nae kozi moja na darasa moja,kwa sasa hatuna mawasiliano yoyote maana najua ana MTU japo simjui,kuna kipindi tushapangwa kuwasilisha mada ila tulikuwa hatujaachana,
wajuzi tafadhali maana tutakuwa wote kwenye vipindi kwa miezi saba na darasani tupo sabini
nataka nifaulu plz nipeni mbinu

Ooooh Since you are matured enough definately
you have to choose between the so called your x and your studies and/or you can take both of them...The power and capability to do so is on your hands..!
 
Mmeshaachana,right?
Jitahidi kumuona kama unavyowaona Watu wengine tu humo class,kumbuka kuwa si Wako tena na jikumbushe ulichofata chuo na uelekeze nguvu zako huko ili ukipate.
Move on bidada!!!!
 
The basics hapa ni mawili,SOMA SANA kashakuacha umeumia na shule pia ikushinde,naaah,make sure unafauluuu tena kuliko yeye ikibidi.,DATE OTHER GUYS inahusu kukaa na maumivu ye ana mtu mwingine,he no longer cares ,get to know other men,(dont sleep around,utajuta) and have funnnn ,utamsahau yeye na maumivu,and it will give u a better chance to meet a potential suitor...
 
Nimeipenda sana hiii.
 
Hizi shule za siku hizi?hawa ndiyo wasomi wanaotegemewa na taifa!
 
habari wakuu,
ni miezi zaidi ya mitano tangu niachwe,
ninachoomba ushauri ni VP nitamkwepa huyu.
nataka nifaulu plz nipeni mbinu

nadhani huyu si wakwanza..jaribu kumsahau kama hawa wawili ulivyowasahau...

[h=3]Wapendwa naomba jibu[/h] Started by EPORA, 9th April 2012 18:13
Heri ya pasaka,kwa kifupi nahitaji msaada wa mawazo,nilikuwa na mchumba mpendwa ktk Bwna kama mimi,na tangu mwanzo tulikubaliana sisi kama wakristo hatutakiwi kufanya tendo la ndoa hadi wkt wa ndoa,hilo lilipita bila kupingwa,na ktk kipindi hicho alisema mwk 2012 angeenda kujitambulisha na kwa bahati baba yake kamjibu hadi arudi nchini december,
Sasa ni hv majuzi niligundua kitu,nilikutana nae maeneo ya mlimani city,wkt nipo nae best yangu akawa amenipigia cm kwmba amekuja dar,cm yangu haikuwa na hela nikaomba yake niitumie kumjibu best,nikajikuta inbox nikapigwa na butwaa kwa kuona msg zinaonesha ametoka kufanya uzinzi siku 2 nyuma.
Niliamua kumuuliza ili aniambie ukweli na alikiri kwmba shetani alimpitia anaomba nimsamehe kwa uzinzi wake,ila nimeshndwa kumsamehe na uchumba nimeuvunja je?wapendwa nipo sahihi?naombeni mawazo yenu!

[h=3]Niliachwa kisa elfu sitini[/h] Started by EPORA, 10th June 2014 16:36
Habari wakuu,nimeona nishare nanyi yaliyonikuta mwenzenu, Nilikuwa na mchumba wangu niliyempenda sana ila yeya alinitamani kwa mujibu wake,nikiwa kama binti ninaejua umuhimu wa kusaidia wengine Mungu kanijalia roho ya utoaji,kwa wale waliokaribu nami wa kiume na wakike,na hii imenifanya niwe na marafiki wengi ambao tunasaidiana katika mambo mengi.

Ishu iko hapa,mchumba wangu huyu tumesaidiana katika mambo mengi ila sio ya kifedha kwa upande wake na sikumbuki kama aliwahi kunipa hata mia,nilimpenda sana na kumwombea kama mume wangu,kwa bahati mbaya sikujua kumbe nimetamaniwa.

Sikumoja alipoteza simu na hii ni kwa mujibu wake akiwa kwenye bodaboda

tulikubaliana sisi kama wakristo hatutakiwi kufanya tendo la ndoa hadi wkt wa ndoa,
wewe kama mkristo kuwa na imani yote utayashinda katika yeye akutiaye nguvu...be at peace with yourself and let it go....
 
habari wakuu,
ni miezi zaidi ya mitano tangu niachwe,
nimeumia hadi nimekuwa sugu,kinachonileta kwenu ni hiki,
wiki moja baada ya kuachwa kabla hatujaenda kwenye research my x alinambia eti kuna mwanamke anamtaka afanyeje?nilichukia sana nikamjibu mkubalie,
akadai nitamcheka ,
ninachoomba ushauri ni VP nitamkwepa huyu maana nasoma nae kozi moja na darasa moja,kwa sasa hatuna mawasiliano yoyote maana najua ana MTU japo simjui,kuna kipindi tushapangwa kuwasilisha mada ila tulikuwa hatujaachana,
wajuzi tafadhali maana tutakuwa wote kwenye vipindi kwa miezi saba na darasani tupo sabini
nataka nifaulu plz nipeni mbinu

Pole sana. Mapenzi ni sehemu ya maisha na sio maisha. Cha msingi mtaje Mungu wako kila wakati, kila dakika litaje jina la Mungu wako, haya maumivu yote ni kutokana na shetani kukaa kwenye kifua chako, na shetani mwingine huyo aliekuumiza, cha msingi mwepuke, usianzishe mahusiano na wanaume wengine lakini japo fungua moyo wako na uwe na furaha, piga story nao, cheka nao, toka outing, angalia movie za kuchekesha, karibisha furaha kwenye moyo wako, hamna atakaekuletea furaha, ni wewe mwenyewe ujipe mwenyewe. Nakuombea dadaangu mzuri usijali utayapita, ni mitihani ya dunia, wengi tumeshayapitia. Sometimes you need to be strong, if beeing strong is your only option. Pole asunu sunu damwani, ushijali zingatia masomo kwanza mamy sawa, hilo tu ndo kombozi lako. Nakuombea.
 
Cha msing fanya yako mama,wat does make hm stronger than u,it doesnt mean u lonely kwa kuachana nae,ko move on mwaya
 
ili mtu awe ex-girlfriend wako mpaka muwe mmeoana na kuachana?
Chuoni sio kila anayesoma ni mtoto mdogo wengine wapo na age ambayo inawaruhusu kuoa kabisa na wana kazi zao! Therefore kama anataka mchumba lazima apate hapo hapo!
So dont judge that way!

nilikuwa nauliza tu!
 
Mapenzi na shule havichanganywi hata kama unasoma chuo kikuu kwani msemo huo hauishii kwa wanaosoma sekondari au chini ya hapo kama utashindwa kudhibiti hisia zako na kuzingatia kilichokupeleka shule jiandae kufeli kwani ukishindwa kupanga jua unapanga kushindwa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jikip busy,pendeza mpk ashangae ka kuna wavulana uliozoeana nao kua close nao yani wafanye mabest ili akikuona akuone uko hapy,stil beautful n huna habar na mtu cz una kampany ya kumpa yy mawazo we huku unadunda tu.
pole sana na jitahd kumkwepa na usimuwaze utafeli focus na shule
 
nadhani huyu si wakwanza..jaribu kumsahau kama hawa wawili ulivyowasahau...

Wapendwa naomba jibu

Started by EPORA, 9th April 2012 18:13

Niliachwa kisa elfu sitini

Started by EPORA, 10th June 2014 16:36

wewe kama mkristo kuwa na imani yote utayashinda katika yeye akutiaye nguvu...be at peace with yourself and let it go....
Mkuu hongera kwa kuwa mtunza kumbukumbu mzuri...
Je! unauhusiano wowote na mhe. Magufuli?
 
habari wakuu,
ni miezi zaidi ya mitano tangu niachwe,
nimeumia hadi nimekuwa sugu,kinachonileta kwenu ni hiki,
wiki moja baada ya kuachwa kabla hatujaenda kwenye research my x alinambia eti kuna mwanamke anamtaka afanyeje?nilichukia sana nikamjibu mkubalie,
akadai nitamcheka ,
ninachoomba ushauri ni VP nitamkwepa huyu maana nasoma nae kozi moja na darasa moja,kwa sasa hatuna mawasiliano yoyote maana najua ana MTU japo simjui,kuna kipindi tushapangwa kuwasilisha mada ila tulikuwa hatujaachana,
wajuzi tafadhali maana tutakuwa wote kwenye vipindi kwa miezi saba na darasani tupo sabini
nataka nifaulu plz nipeni mbinu

Pole, wazungu walisema "Don't poop where you eat". Ni shida sana kuanzisha mahusiano kazini na chuo unapotegemea kipato. Inabidi ujiweke busy
 
ni rahis sana my dea kupotezea tena ukionana nae mchangamkie mwambie kaka mambo vip ,kama vp mzima ww?nambie mambo yako vip then mweleze uko fresh,akikueleza kuwa kuna mwanamke anamtaka mweleze mbona poa tu mkubalie then mwambie mbona mm kuna mwanaume alikuwa ananitaka toka mda mrefu wakat bado tuna mahusiano lkn nmemkubali na tunapendana sana na umegundua ndie mwenye mapenzi kwako,then najua kitamuuma tu,akiwa anakupigia sm jaribu kumpa mkaka yeyote apokee cm amwambie asiwe anakutafuta na kukusumbua kwani unamilikiwa na mtu,halafu endelea kuwa busy soma kwa bidii,hata kama unampenda jikaze litapita tu ,
 
Sasa w mama EPORA hebu ni PM ili nikupe mbinu nzuri.
 
Last edited by a moderator:
Akijaribu kukupigia simu. Mwambie alikuwa anaperfomance mbaya kitandani na ulikuwa unamvumilia tu
 
habari wakuu,
ni miezi zaidi ya mitano tangu niachwe,
nimeumia hadi nimekuwa sugu,kinachonileta kwenu ni hiki,
wiki moja baada ya kuachwa kabla hatujaenda kwenye research my x alinambia eti kuna mwanamke anamtaka afanyeje?nilichukia sana nikamjibu mkubalie,
akadai nitamcheka ,
ninachoomba ushauri ni VP nitamkwepa huyu maana nasoma nae kozi moja na darasa moja,kwa sasa hatuna mawasiliano yoyote maana najua ana MTU japo simjui,kuna kipindi tushapangwa kuwasilisha mada ila tulikuwa hatujaachana,
wajuzi tafadhali maana tutakuwa wote kwenye vipindi kwa miezi saba na darasani tupo sabini
nataka nifaulu plz nipeni mbinu
pole sana,unaweza kuja tu kwangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom