Ndg yangu Kifai,hivi unakumbuka kuna mtu alitumia ID yako akaandika hayochini??Jirudie zako NYAKATO –MZA,ukale pilipili/shitto na upambane na TANESCO,hapo kuna umeme au napo ni mgao kutoka Uganda?
.Nina imani una maana BUKOBA na sio Kagera?Lakini umewapa changamoto
============
Toka juzi kumekuwa na katabia kachafu kwa tanesco kukata umeme maeneo ya nyakato nzima bila kutupa taarifa kamili kwa kweli mnatuboa,
we golota naona unatafuta mwanaume huku, plse mi nishaoa nikikutaka sana sana utakuwa mchepuko wangu mbaya zaidi siangalii jinsia nyau wewe
safi sana hawa kina komba wote ni wa kunyonga kabisaaaaa tena huyu sitta ndo kisirani kabisaaaaa
Kafie mbali fisi maji wewe
safi sana hawa kina komba wote ni wa kunyonga kabisaaaaa tena huyu sitta ndo kisirani kabisaaaaa
Naombeni kuuliza ni wapi nitapata pilipili aina ya shitto kwa hapa Tanzania!? Kwa wale wanayoijua tafadhali ni habarisheni hii kitu plsee! Hii ni pilipili ya wenyeji wa nchini Ghana.
Tupo hapa kwa mrombooo tushangangishana hela ya mafuta ya kuendeshea generator, hata wakate umeme kesho tunao tuu, labda wakate matangazo liveee
Kwendraaaaaa huko fisi wewe,
Kama huna ushauri kaa kimya, wewe unaanza kuhoji tena?? Kama angekuwa ame plan asingekuja kuomba ushauri hapa, kitimoto wewe,
Una pepo wewe, au kamkataa dada ako??
Jamani mi mgeni hapa mwanza nimefika juzi tuu kutoka huko nitokapo, nimekuwa nashindwa hata kufanya mambo yangu kwenye net kwa kutumia mtandao wa voda, huwa una load hadi karaha, kwa wenyewe wa hapa...
Safi sana kamanda, karibu hadi ndani mkuu, cha msingi uwe mvumilivu humu ndani cause kuna raha na karaha plus shombo
Nishajichanganya kabisa asee, nimeamka huku nikijua kabisa ni ijumaa kuu leo, cha ajabu nimefika sehemu nikawakuta jamaa zangu wanakunywa supu ya mbuzi, kutokana na njaa nilikuwa nayo nikajikuta...
Nimefika hapa takribani wiki moja iliyoisha yani mjii huu ni tofauti na nilivyouzania kutokana na majigambo ya ndg zetu wahaya, miundo mbinu na mji ulivyokaa basi taabu kweli kweli, natamani kilichonileta huku nimalize fasta nirudi zetu kwetu mwanza,,