Na kwa nini ununue kondoo mwingine wakati tayari unaye nyumbani umemuacha, kama sio tamaa hiyo ndio hiyo tunasema michepuko. Ridhikeni na mlicho nacho ndugu. Kuna mmoja yuko eehee Mtoto umeumbika wewe kama sijui kitu gani, inaelekea mtamu sana, wewe , I'm like what the hell wrong with you , yaani kwa Kweli inaboa sana, its disgusting to me , it makes me sick very sick of my stomache , please watuheshimu ili na wao wapate kuheshimiwa back. Asante!

beberu mzuri, ni yule anayehudumia kotekote,,!!
viumbe vyote vya kiume hapa duniani viubwa kutoa huduma kama hiyo forexemple
bata,kuku,beberu,punda,panzi,ndege, yaani vitu vyote. vyote hivyo havilalamiki,.
Uko kwenye kundi hilo nini? Why unashabikia? Honestly Mtu wa namna hii akiniongelea huu uchafu wake, trust me , we gonna have problems. Kwanza namdharau, popote nimuonapo , heshima ni kitu cha bure , niheshimu nami nipate kukuheshimu sasa huniheshimu elewa hata mimi pia sitakuheshimu kabisaa . Asante !
heshima ni kitu cha bure. sawa hilo linajulikana kila kona ya dunia
mwanamke ni mwanamke tu, kwamwe usijilinganishe na mwanaume.,! mimi naruhusiwa kuoa wanawake hata watano na jamii isinishagae, lakn wewe huruhusiwi kuolewa na wanaume watano hujiulizi why?
Sikumbuki Mara ya mwisho ni mwaka gani...nowadays najikuta npo nao kitandan tena sikumbuki nmefika nao vipi na asubui imeshafika...aaaahhh
Uko kwenye kundi hilo nini? Why unashabikia? Honestly Mtu wa namna hii akiniongelea huu uchafu wake, trust me , we gonna have problems. Kwanza namdharau, popote nimuonapo , heshima ni kitu cha bure , niheshimu nami nipate kukuheshimu sasa huniheshimu elewa hata mimi pia sitakuheshimu kabisaa . Asante !
Sipendi kuulizwa kabila gani naona kama unataka kunibagua ,nyerere alinifundisha kuepuka ukabila ,mi mpole tu,mcheshi,msikilizaji ,alafu napenda kununa !
Kama hujawahi kutongoza basi jua una kasoro na kama hujawahi kutongozwa basi jua umepungua !
Umenikumbusha mbaliii dear. Aaaaaaaahaaa oh my Aaaaa aaahhhaaa. Thanks!
Wapi tena huko dear?
Kijana unajua kutongoza kupo, lakini kuna watu hawapendi kutongoza kwa kuhofia kuwa wanaweza kudhalilika au kujidhalilisha. Hebu chukulia wewe ni mwalimu wa madrasa au ni kijana mchungaji/muinjiristi na jamii inakujua hivyo na kukupa heshima, unadhani utaweza kumtongoza mtu hapo? labda uwe hujitambui, kumbuka kutongoza sio kuchumbia, pia kuna watu hawapendi ngono kabla ya ndoa.
Enzi za chekechea dear sasa aaaaah hhhaaaaaa, waliokuwa wakinivizia nikitumwaga dukani , mpaka na ngumi zilipigwa after all Hakuna hata aliyenipata, sasa aaahhhaaa wote walikula huu na hasara juu, aaaaaaahhjhaaaa. Thanks!
Aaaaaaa!! kwanini ulikuwa unaninyima dear?
Hujatulia muda haukuwa muafaka, enzi zile Aaaaaaaa, nilifurahia movie ya bure ya ndondi aka ngumi zilizochapwa kisa loveissweet Jamani mapenzi yanatoka mbali, Aaaaa aaahhhaaa. Asante!
Basi ntajaribu sasa hivi ila ndondi zisitokee tu.
Aaaaahhhaaaa, no comment from me please aaahhhaaa aaaahhhaa. Asante kwa kunifurahisha dear, I truly need it . thanks!