neyma urioh
Member
- Dec 9, 2013
- 25
- 5
Misa mi nimeamua niendelee kua rafiki tu, mapenzi no
usikubali kuwa nae hta kidog kam hatki muendelee kuwa friend wa kawaid mpotezee cz akishapta anachokitak atasepaaa
Last edited by a moderator:
Misa mi nimeamua niendelee kua rafiki tu, mapenzi no
usikubali kuwa nae hta kidog kam hatki muendelee kuwa friend wa kawaid mpotezee cz akishapta anachokitak atasepaaa
Anamtaka huyo..Wasichana bhana! Sometime mnakuwa kama na akili za kuku.. Sasa wewe jamaa amekutokea unashindwa fanya maamuzi mpaka uje kuomba ushauri hapa.
wachache sana hao... Usione akina Molinyo, fagasoni etc wanafundisha kwa mafanikio... Ukimwambia akacheze namba anayoona inapwaya utachoka na utachekaNgalikihinja utakuwa mpira huujui, hujawahi hata kuskia kocha mchezaji? Hahaha
Wasichana bhana! Sometime mnakuwa kama na akili za kuku.. Sasa wewe jamaa amekutokea unashindwa fanya maamuzi mpaka uje kuomba ushauri hapa.
Jina lako Zuri!
umefurahi alivyoaply mpaka umetuletea hapa..
Mpe.
Ngalikihinja jamanyy nimelipenda tu jina lake no hidden motives
Tunafahamiana mda sasa
Ni rafiki yangu wakaribu sana na tunashirikiana ktk mambo mengi
We are so very close kiasi kwamba ishu zake zote nnazo mimi, na zangu anazo
akigombana na girlfriends zake mie ndo naombwa ushauri, ntafanyaje kama rafiki siwezi kumuhukumu eti ana wapenzi wengi coz friends hawahukumiani Hata siku moja ila wanarekebishana tu hapa na pale.
Hayya tatizo linakuja anaanza kuniwinda mimi, Mara ooh si mnazijua zilee
Basi jamaa bila chembe si aka-apply mwai (lugha WA vijana WA siku hizi)
Sijamuelewa anataka nini hasa maana hao wawili wote hawamtosh?? Anataka kuniongeza kwenye list?
Nimeamini kweli Hamna urafiki Kati ya mwanamke na mwanaume.
Wanaume na tamaa zao (sija generalize msije mkanipiga mawe)
Usiku mwema wapendwa