Recent content by ProudMama

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nilimbikiri na alinizalia mtoto lakini sitamuoa katu

    Kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake
  2. P

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wadada wanapenda kuangalia dereva wanaepishana nae

    Hahahahaaa!!!wala hujakosea kabisaa!!! I am guilty as charged aiseee!!!!sijui ni kwa nini ila its like i need to see who is passing me and what doea he/she look like....hahahahaaaa!!!we will make good detectives aiseeee
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    Bado unao?naishi Arusha
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa MWANANCHI atimuliwa kampeni za John Magufuli

    Mwanzo nilikuwa sijakuelewa ila sasa,namshukuru Mungu nimekuelewa
  5. P

    JamiiForums Tanzania Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Think about it kaka... to me this is a blessing in disguise....haya matokeo yasaidie kuwafanya ukawa wajipange zaidi katika round zilizobaki za mpambano....i am not discouraged at all,in fact am happy with this results....
  6. P

    JamiiForums Tanzania Hivi wakisema kila mtu afanye harusi yake sehemu aliyokutana na mpenzi wake, yako ingefanyika wapi?

    Uchochoro mmoja hivi amazing,kabla ya hapo tulikutana kwa daladala tukajikuta tumeshuka kituo kimoja,tukavuka barabara kwa kuongozana kwenda kupanda daladala nyingine,tunashuka tena kituo kimoja na kuongozana through that uchochoro,kuja kugundua baadaye kumbe ni jirani yangu....
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mahubiri ya Mwalimu Mwakasege - UDSM

    Ambacho nakishuhudia kwa waamini wengi hivi sasa ni kuwa wanasahau kuwa unapoomba inabidi uwe tayari pia kusikiliza sauti ya Mungu.....usiwe na majibu yako kichwani....Mungu anapokupa jibu lazima uwe tayari kusikiliza na pia uwe tayari kufanyia kazi!!!haijalishi mazingira yanakuonyesha nini kama...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Slaa amwangukia Mchungaji Gwajima

    Na ndio maana Neno likasema ameelaaniwa amtegemeaye binadamu
  9. P

    JamiiForums Tanzania Jipatie vitabu vya Joram Kiango

    Nipo Arusha navipateje?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
  11. P

    JamiiForums Tanzania Amekataa kunirudishia pesa niliyoituma kimakosa, kisa nilimjibu jeuri

    Hahahahaaaa!!!kitu cha kusikitisha ila nimejikuta nacheka...pole ndugu
  12. P

    JamiiForums Tanzania Dada aliyeimba nyimbo ya 'Tanzania nakupenda' yuko Australia?

    Weka link ndugu
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Hajaomba radhi khaaa!!!wewe nawe mshadidiajiiii😏
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Thanks aiseee!!!nilishapoteza uelekeo
Back
Top Bottom