Mwandishi wa MWANANCHI atimuliwa kampeni za John Magufuli

Asiraji Mvungi wa ITV ametimuliwa ukawa baada ya kuonesha moja ya mikutano ya Lowassa ikiwa imehudhuriwa na watu 20 tu.
 
Kweli masisiem wameshanganyikiwa walitaka mwandishi wa habari wa gazeti aandike Magufuli ashangaliwa sana huko mbeya wakati alizomewa?Hii aibu kubwa lakini siku zote ukweli unauma ujumbe ulifika
 
Mwandishi wa gazeti la MWANANCHI ndugu Peter Elias ametimuliwa kutoka msafara wa kampeni za mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ndugu John Magufuli, imethibitishwa.

Mwandishi huyo ametimuliwa kwa kosa la kuripoti tukio la mgombea huyo kuzomewa na wafuasi wa Chadema jijini Mbeya hivi karibuni kinyume cha
makubaliano.

Mwandishi huyo aliripoti katika gazeti hilo kwa kichwa cha habari "Magufuli akabiliana na UKAWA Mbeya" na kuweka picha ya mgombea huyo akionyeshwa alama ya vidole viwili.

Magufuli hatokuwa rais wa Tz
 
Back
Top Bottom