nasnay JF-Expert Member Joined Mar 28, 2015 Posts 599 Reaction score 911 Jun 16, 2015 #41 Kaka nimeshindwa kuku pm no ya muuzaji wake, ni pm no yako then ntakuunganisha naye. Sorry kwa usumbufu, sijajua kulitumia jukwaa ipasavyo.
Kaka nimeshindwa kuku pm no ya muuzaji wake, ni pm no yako then ntakuunganisha naye. Sorry kwa usumbufu, sijajua kulitumia jukwaa ipasavyo.
nameless girl JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 4,195 Reaction score 2,685 Sep 2, 2015 Thread starter #42 Natumaini mu wazima? Kwa mara nyingine tena natangaza uwepo wa kitabu cha MIKONONI MWA NUNDA kilichoandikwa na marehemu BEN R. MTOBWA. Kutokana na gharama za uchapishaji kupanda, tumeweza kutoa vitabu kwa awamu. Hivyo tuna baadhi ya vitabu vya mwandishi BEN R. MTOBWA kama NAJISIKIA KUUA TENA, ROHO YA PAKA, MIKATABA YA KISHETANI NA MIKONONI MWA NUNDA. Bei ya kila kitabu kimoja ni shilingi 10,000. Vitabu hivi vinapatikana Kariakoo, Ubungo, Posta na Bunju. Tunapenda kuwaahidi wapenzi wote wa mwandishi huyu kwamba siku zijazo tunatazamia kuweka sokoni vitabu vyote vya marehemu BEN R. MTOBWA. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0712504985, 0684081708 au 0763044459 Yo Yo, Mama, Mpita Njia, Mzee Mwanakijiji, DDT, Shadow, Philemon Mikael Tonga, @Ngwanza Madaso, @ yassin, single Sajenti,Kibunango, RR, Morani75, Semjato, Kuntakinte, Kevo, KESHaija, streetwiser, Mbalamwezi, Baba Enock, Nemesis, Katavi, Kapo Jr, Amorbwoy, sonny-benson, nyakubonga, JEKI, hawahamisi, lutayenga, Bigjahman, Ntigy, NGANU, charliehustler, guasa,kigongoi, ntamaholo, kudi kudi, ulimbaga, plo lumumba jr, ADK, Zeddicus, kiraia, Sam 2, playboy, Mussolin 5, rosob, laki si pesa,lutayega, idawa, MAPIKIPIKI, Hikma, Last emperor, nemulo, MJUKUU WA KACHUNDU, conductor, wakusoma, Ibrah, Nomile,MankaM, Yoon Sung Lee, mussa, Mashala Jr, @Muella jr, Kijini, The secretary, david ngido, Simba Mkali, The Dude, The Genius,mpayukaji, Jumakidogo, X-PASTER, Al Zagawi, Njangula, sirghanam, mtemiwaWandamba, Udadisi, Gurudumu, Kasimba,Mwalimu, KULI, nyabhingi, mohamed Shossi Kyenju, Preta idawa, Mshuza2, MAFUNZO, The last don, nyabaheta, 50thebe,Elungata, Wimana, Kailanga, Chimunguru, Mogambi, michosho, Victoire, Endangered, Njangula, Bujibuji, NZURI PESA, Babu Kijana, pono, Mzawa Halisi, Hassan, Mugaga, ali, Job K, bullet, ngangarupalu, mpinga shetani, Kakalende, kinyoba, Raia Fulani,BONGE BONGE, @Pirincetx Morinyo, olele, Mama Yeyoo, Mgjd, bet lehem, Nebby, KUTATABHETAKULE, Mkosoaji Nebby, betlehem, olele, princetx, Raia Fulani, kinyoba, Ngagarupalu, Job K, Mugaga, Hassani, Mzawa Halisi, babukijana, Endangered, Victoire, Mogambi, michosho, Chimunguru, Kailanga, Wimana, Elungata, 50thebe, nyabaheta, The last don, MAFUNZO, Mshuza2, Kyenju, idawa na wengine wote karibuni. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Natumaini mu wazima? Kwa mara nyingine tena natangaza uwepo wa kitabu cha MIKONONI MWA NUNDA kilichoandikwa na marehemu BEN R. MTOBWA. Kutokana na gharama za uchapishaji kupanda, tumeweza kutoa vitabu kwa awamu. Hivyo tuna baadhi ya vitabu vya mwandishi BEN R. MTOBWA kama NAJISIKIA KUUA TENA, ROHO YA PAKA, MIKATABA YA KISHETANI NA MIKONONI MWA NUNDA. Bei ya kila kitabu kimoja ni shilingi 10,000. Vitabu hivi vinapatikana Kariakoo, Ubungo, Posta na Bunju. Tunapenda kuwaahidi wapenzi wote wa mwandishi huyu kwamba siku zijazo tunatazamia kuweka sokoni vitabu vyote vya marehemu BEN R. MTOBWA. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0712504985, 0684081708 au 0763044459 Yo Yo, Mama, Mpita Njia, Mzee Mwanakijiji, DDT, Shadow, Philemon Mikael Tonga, @Ngwanza Madaso, @ yassin, single Sajenti,Kibunango, RR, Morani75, Semjato, Kuntakinte, Kevo, KESHaija, streetwiser, Mbalamwezi, Baba Enock, Nemesis, Katavi, Kapo Jr, Amorbwoy, sonny-benson, nyakubonga, JEKI, hawahamisi, lutayenga, Bigjahman, Ntigy, NGANU, charliehustler, guasa,kigongoi, ntamaholo, kudi kudi, ulimbaga, plo lumumba jr, ADK, Zeddicus, kiraia, Sam 2, playboy, Mussolin 5, rosob, laki si pesa,lutayega, idawa, MAPIKIPIKI, Hikma, Last emperor, nemulo, MJUKUU WA KACHUNDU, conductor, wakusoma, Ibrah, Nomile,MankaM, Yoon Sung Lee, mussa, Mashala Jr, @Muella jr, Kijini, The secretary, david ngido, Simba Mkali, The Dude, The Genius,mpayukaji, Jumakidogo, X-PASTER, Al Zagawi, Njangula, sirghanam, mtemiwaWandamba, Udadisi, Gurudumu, Kasimba,Mwalimu, KULI, nyabhingi, mohamed Shossi Kyenju, Preta idawa, Mshuza2, MAFUNZO, The last don, nyabaheta, 50thebe,Elungata, Wimana, Kailanga, Chimunguru, Mogambi, michosho, Victoire, Endangered, Njangula, Bujibuji, NZURI PESA, Babu Kijana, pono, Mzawa Halisi, Hassan, Mugaga, ali, Job K, bullet, ngangarupalu, mpinga shetani, Kakalende, kinyoba, Raia Fulani,BONGE BONGE, @Pirincetx Morinyo, olele, Mama Yeyoo, Mgjd, bet lehem, Nebby, KUTATABHETAKULE, Mkosoaji Nebby, betlehem, olele, princetx, Raia Fulani, kinyoba, Ngagarupalu, Job K, Mugaga, Hassani, Mzawa Halisi, babukijana, Endangered, Victoire, Mogambi, michosho, Chimunguru, Kailanga, Wimana, Elungata, 50thebe, nyabaheta, The last don, MAFUNZO, Mshuza2, Kyenju, idawa na wengine wote karibuni.
P ProudMama Member Joined May 2, 2015 Posts 22 Reaction score 6 Sep 2, 2015 #43 nameless girl said: jumatatu utaletewa... Click to expand... Nipo Arusha navipateje?
nameless girl JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 4,195 Reaction score 2,685 Sep 2, 2015 Thread starter #44 ProudMama said: Nipo Arusha navipateje? Click to expand... naweza kutuma kwa basi au sanduku lako la posta.
ProudMama said: Nipo Arusha navipateje? Click to expand... naweza kutuma kwa basi au sanduku lako la posta.
50thebe JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 4,139 Reaction score 4,117 Sep 3, 2015 #45 Tupo pamoja nameless girl Asante