Slaa amwangukia Mchungaji Gwajima

Slaa amwangukia Mchungaji Gwajima

Hicho siyo kijarida cha Gwajima?

Na dhambi zake zote, Babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa akamuangukie mchungaji anaetumia mapepo machafu?

Haiingii akilini hata chembe.
Weka akiba ya maneno FaizaFoxy, kwanini unapenda kwaza wenzio?
 
Hicho siyo kijarida cha Gwajima?

Na dhambi zake zote, Babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa akamuangukie mchungaji anaetumia mapepo machafu?

Haiingii akilini hata chembe.
asante Yesu kwa kumponya faiza. sasa anawakubali watumishi wa mungu. sasa Faiza amini na kubatizwa nawe utauona ufalme wa Mungu wa kweli.
 
asante Yesu kwa kumponya faiza. sasa anawakubali watumishi wa mungu. sasa Faiza amini na kubatizwa nawe utauona ufalme wa Mungu wa kweli.

Nisome vizuri utanielewa tu.

Nataka kukuuliza, mtumishi wa Mungu anazini?
 
Na mashehe je?

Usipende ubishi kwa sbabu ya ubishi tu, bishia vitu vya kweli na uukubali ukweli, jionee:

RevCowardAndGaymateBobbyEgbele.jpg

Huyo ni mchungaji na mchumba wake, shoga. Na hiyo picha ni kanisani.

Upo hapo ulipo?
 
Back
Top Bottom