Recent content by Project Pundit

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kwa tukio hili, nikiweka pesa benki za Kitanzania, mniite mbwa nipo Qatar

    Duuh hii chai inaunguza sana
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa kilatini ulioimbwa siku ya ibada ya kumuaga Hayati J.K Nyerere pale st. Joseph tarehe 19 October 1999

    Ilikuwa ni siku ambayo jiji la Dar es salaam liligubikwa na majonzi huku vilio vikitawala katika kila kona yake. Majonzi haya hayakutokana na kumpoteza mwasisi wa nchi hii pekee bali ni hofu ya watu wengi kuhusu mustakabali wa nchi hii bila kuwepo Kwa mzee huyu aliyeonekana kuwa ni kielelezo na...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Marketing research Tanzania

    Tafuta internet domain ulipie upate access ya email ya go.tz pamoja na website. Huwez kufanya kazi na watu serious Kwa kutumia e-mail ya gmail au yahoo. Pia nikupongeze kwa idea hii, consultation ni fursa inayohitaji mtaji mdogo lakini ina-impact kubwa katika kuleta suluhu ya matatizo na kuziba...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Maswali magumu ya mwanafalsafa Epicurus kuhusu mwenyezi Mungu

    Na Saint Thomas naye yuko wapi??
  5. P

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tafakuri tunduizi tiba ya maendeleo

    Elimu bora iliyopaswa kuifikia hadhira Kwa upana zaidi kwanza kabla ya ile ya tunda la kimasihara
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi wasanii wa nyimbo za Injili hawaimbi kukemea maovu kama zamani?

    Nmeshaacha kabisa kuwasikiliza... nasikiliza kwaya za AICT au hizi wanazoimba wengi ila hizi za mmoja mmoja zimeingiliwa na wapigaji
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ninavotamani siku zirudi nyuma ili niyafute haya...

    Natabiri pm yako kujaa maombi kama ajira portal
  8. P

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kupungua kwa uwajibikaji na umahiri wa madaktari wa afya nchini Tanzania

    Hapa napo kuna hoja nzito. Performance ya mtu inapokuwa questionable kuanzia kwenye vitu vidogo na vya msingi basi kwny ishu complex ni tatizo zaidi
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya Watanzania hawajui tofauti kati ya GDP na GDP Growth Rate?

    Nimeshika siti
  10. P

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kupungua kwa uwajibikaji na umahiri wa madaktari wa afya nchini Tanzania

    Hii inatokea sana pia nilisahau kuiandika
Back
Top Bottom