Baadhi ya Watanzania hawajui tofauti kati ya GDP na GDP Growth Rate?

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,019
16,408
Kuna huyu Mtanzania anayeitwa joto la jiwe ambaye ndio genius wa huku. Lakini nimeshangaa kuona kwamba jamaa hajui tofauti kati ya gdp na gdp growth rate. Gdp ni thamani ya bidhaa na huduma zinazozalishwa ndani ya uchumi fulani kwa muda wa mwaka mmoja. Gdp growth rate ni kiwango cha kuongezeka au kupungua kwa Gdp kutoka mwaka mmoja hadi mwaka mwingine. Ona ujinga wa huyu jamaa.

1650504002417.png

Ukiangalia hapa chini mahali nimekoleza kwa rangi ya samawati, ni wazi kwamba huyu jamaa anafikiri kwamba gdp growth rate ni sawa na thamani ya bidhaa na huduma zilizozalishwa ndani ya uchumi husika. Yaani anafikiria kwamba gdp ndio gdp growth rate. Kuna watu wajinga humu wajifanya werevu. Jamaa anadhani Kenya tunazalisha bidhaa na huduma za $4 billion kila mwaka. Mtanzania mwenzake amuambie kwamba Kenya tunazalisha bidhaa na huduma za $109 billion kila mwaka.

1650504560310.png

What Is Gross Domestic Product (GDP)?​

Gross domestic product (GDP) is the total monetary or market value of all the finished goods and services produced within a country’s borders in a specific time period. As a broad measure of overall domestic production, it functions as a comprehensive scorecard of a given country’s economic health.

Though GDP is typically calculated on an annual basis, it is sometimes calculated on a quarterly basis as well.

What Is an Economic Growth Rate?​

An economic growth rate is the percentage change in the value of all of the goods and services produced in a nation during a specific period of time, as compared to an earlier period. The economic growth rate is used to measure the comparative health of an economy over time. The numbers are usually compiled and reported quarterly and annually.In most cases, the economic growth rate measures the change in a nation's gross domestic product (GDP).
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
23,126
38,587

View attachment 2194797

View attachment 2194811

Wenzako wanakucheka kichinichini.

Kwa hiyo ukisikia kwamba utajiri wa Bill Gate ni $100B, kichwa yako iliyojaa matope ya chang'aa inakuambia kwamba Bill Gate kila mwaka anatengeneza $100B sio?, Hiyo maana yake baada ya miaka miwili jumla ya utajiri wake ni $200B sio?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Don YF

JF-Expert Member
May 24, 2014
8,710
8,257

Ona sasa? ungefyata tu, yaani wewe ni boya wa maboya from Tanzania 😂 😂 😂 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,019
16,408

Wenzako wanakucheka kichinichini.

Kwa hiyo ukisikia kwamba utajiri wa Bill Gate ni $100B, kichwa yako iliyojaa matope ya chang'aa inakuambia kwamba Bill Gate kila mwaka anatengeneza $100B sio?, Hiyo maana yake baada ya miaka miwili jumla ya utajiri wake ni $200B sio?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nani ataelezea huyu jamaa kwamba gdp huwa inahesabiwa kila mwaka? kwamba tukisema mwaka wa 2021 gdp ya Kenya ilikuwa $109 billion tunamaanisha kenya iliproduce goods and services ya $109 billion mwaka huo?
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
23,126
38,587
Nani ataelezea huyu zuzu kwamba gdp huwa inahesabiwa kila mwaka? kwamba tukisema mwaka wa 2021 gdp ya Kenya ilikuwa $109 billion tunamaanisha kenya iliproduce goods and services ya $109 billion mwaka huo?
Mimi sikufika chuo kikuu Kama wewe, lakini ngoja nikuonyeshe jinsi Elimu yenu huko Kenya ilivyo hovyo.

GDP ya nchi ya Sasa ya Kenya, ni mkusanyiko wa thamani wa huduma na bidhaa zilizozalishwa toka walipoanza kuweka taarifa za uchumi wa Kenya enzi za ukoloni.

Formulae inayotumika kujua GDP ya mwaka husika ni

GDP (current GDP)+ GDP growth rate
= New GDP
Kwa mfano

Kenya GDP ya mwaka Jana 2021(current GDP) ni $100B, na uchumi wenu mwaka huu 2022 unaongezeka kwa 5%(GDP growth rate), new GDP of 2022 ni

$100B(current GDP, 2021) + $5B(GDP growth rate of 2022 which is 5%)= $105B(New GDP 2022

Hiyo maana yake ni kwamba, kwa mwaka wa 2022, uchumi wa Kenya umeongezeka kwa $5B tu, sio kwamba umeongezeka kwa $105B, Kati ya $105B, kiasi cha $100B ni "Balance brought forward".

Umeelewa?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
NairobiWalker

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
8,817
7,995
Kuna huyu Mtanzania anayeitwa joto la jiwe ambaye ndio genius wa huku. Lakini nimeshangaa kuona kwamba jamaa hajui tofauti kati ya gdp na gdp growth rate. Gdp ni thamani ya bidhaa na huduma zinazozalishwa ndani ya uchumi fulani kwa muda wa mwaka mmoja. Gdp growth rate ni kiwango cha kuongezeka au kupungua kwa Gdp kutoka mwaka mmoja hadi mwaka mwingine. Ona ujinga wa huyu jamaa.

View attachment 2194797

Ukiangalia hapa chini mahali nimekoleza kwa rangi ya samawati, ni wazi kwamba huyu jamaa anafikiri kwamba gdp growth rate ni sawa na thamani ya bidhaa na huduma zilizozalishwa ndani ya uchumi husika. Yaani anafikiria kwamba gdp ndio gdp growth rate. Kuna watu wajinga humu wajifanya werevu. Jamaa anadhani Kenya tunazalisha bidhaa na huduma za $4 billion kila mwaka. Mtanzania mwenzake amuambie kwamba Kenya tunazalisha bidhaa na huduma za $109 billion kila mwaka.

View attachment 2194811

What Is Gross Domestic Product (GDP)?​

Gross domestic product (GDP) is the total monetary or market value of all the finished goods and services produced within a country’s borders in a specific time period. As a broad measure of overall domestic production, it functions as a comprehensive scorecard of a given country’s economic health.

Though GDP is typically calculated on an annual basis, it is sometimes calculated on a quarterly basis as well.

What Is an Economic Growth Rate?​

An economic growth rate is the percentage change in the value of all of the goods and services produced in a nation during a specific period of time, as compared to an earlier period. The economic growth rate is used to measure the comparative health of an economy over time. The numbers are usually compiled and reported quarterly and annually.In most cases, the economic growth rate measures the change in a nation's gross domestic product (GDP).
🤣 🤣 what did I just read? Did someone with a brain just type that? LAWD, Tanzania needs new mathematics teachers.
 
NairobiWalker

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
8,817
7,995
Mimi sikufika chuo kikuu Kama wewe, lakini ngoja nikuonyeshe jinsi Elimu yenu huko Kenya ilivyo hovyo.

GDP ya nchi ya Sasa ya Kenya, ni mkusanyiko wa thamani wa huduma na bidhaa zilizozalishwa toka walipoanza kuweka taarifa za uchumi wa Kenya enzi za ukoloni.

Formulae inayotumika kujua GDP ya mwaka husika ni

GDP (current GDP)+ GDP growth rate
= New GDP
Kwa mfano

Kenya GDP ya mwaka Jana 2021(current GDP) ni $100B, na uchumi wenu mwaka huu 2022 unaongezeka kwa 5%(GDP growth rate), new GDP of 2022 ni

$100B(current GDP, 2021) + $5B(GDP growth rate of 2022 which is 5%)= $105B(New GDP 2022

Hiyo maana yake ni kwamba, kwa mwaka wa 2022, uchumi wa Kenya umeongezeka kwa $5B tu, sio kwamba umeongezeka kwa $105B, Kati ya $105B, kiasi cha $100B ni "Balance brought forward".

Umeelewa?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Enyewe hukufika chuo kikuu. Kama ungekuwa umefika ningedharau sana masomo ya bongo. 🤣 🤣 🤣

What is this? 🤣🤣

Geza Ulole , tuusan Walker255 kujeni msaidie kijana yenu. 🤣🤣🤣
 
KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
17,019
28,199
Hivi kwanini watu hawana utamaduni wa kukosoana na kuelimishana pasipo na kuvunjiana heshima na adabu.......kwanini inakuwa ngumu kumuelimisha mtu mpaka umtukane.....??

Ustaarabu wetu upo wapi kama binadamu.... thamani yetu na maana ya sisi kuelimika Nini....??

Kama tunashindwa kuhandle emotions kwenye mepesi kama haya tofauti yetu na wanyama wa porini nini.....??

Hizi forums ni kama shule kwa wengine....maarifa na elimu inayopatikana humu hata darasani huwezi kuipata.....tujifunze kuwasilisha hoja au mada kinzani pasi na kumtusi,kebehi au kumvunjia adabu aliyetoa hoja kinzani....na huo uungwana
 
NairobiWalker

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
8,817
7,995

Wenzako wanakucheka kichinichini.

Kwa hiyo ukisikia kwamba utajiri wa Bill Gate ni $100B, kichwa yako iliyojaa matope ya chang'aa inakuambia kwamba Bill Gate kila mwaka anatengeneza $100B sio?, Hiyo maana yake baada ya miaka miwili jumla ya utajiri wake ni $200B sio?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Please, nyamaza tu uache kujiaibisha. Nimeelewa kwa nini unakuwanga mbishi hivi, huelewi unachosema. 🤣🤣

846a45dc2f6b35bcbe92b8aed2d9e8a5.jpg
 
NairobiWalker

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
8,817
7,995
Hivi kwanini watu hawana utamaduni wa kukosoana na kuelimishana pasipo na kuvunjiana heshima na adabu.......kwanini inakuwa ngumu kumuelimisha mtu mpaka umtukane.....??

Ustaarabu wetu upo wapi kama binadamu.... thamani yetu na maana ya sisi kuelimika Nini....??

Kama tunashindwa kuhandle emotions kwenye mepesi kama haya tofauti yetu na wanyama wa porini nini.....??

Hizi forums ni kama shule kwa wengine....maarifa na elimu inayopatikana humu hata darasani huwezi kuipata.....tujifunze kuwasilisha hoja au mada kinzani pasi na kumtusi,kebehi au kumvunjia adabu aliyetoa hoja kinzani....na huo uungwana
Huwezi kosolewa kama una kiburi katika ujinga wako, utachekwa tu. Yani unaongea utopolo huku ukiwatusi wanaojaribu kukukosoa. Ndio huyu ndugu yako joto la jiwe alivyo.
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
23,126
38,587
Hivi kwanini watu hawana utamaduni wa kukosoana na kuelimishana pasipo na kuvunjiana heshima na adabu.......kwanini inakuwa ngumu kumuelimisha mtu mpaka umtukane.....??

Ustaarabu wetu upo wapi kama binadamu.... thamani yetu na maana ya sisi kuelimika Nini....??

Kama tunashindwa kuhandle emotions kwenye mepesi kama haya tofauti yetu na wanyama wa porini nini.....??

Hizi forums ni kama shule kwa wengine....maarifa na elimu inayopatikana humu hata darasani huwezi kuipata.....tujifunze kuwasilisha hoja au mada kinzani pasi na kumtusi,kebehi au kumvunjia adabu aliyetoa hoja kinzani....na huo uungwana
Mkuu wakenya hawajazoea ustaarabu, Kama ningekuwa kwao Kenya na wangeniju sehemu nilipo, lazima wangenitumia watu kuja kuniua.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
23,126
38,587
Enyewe hukufika chuo kikuu. Kama ungekuwa umefika ningedharau sana masomo ya bongo.

What is this?

Geza Ulole , tuusan Walker255 kujeni msaidie kijana yenu.
Wanakucheka Sana hivi Sasa, Sasa ninaelewa kwanini Kenya kila kitu kinakwenda hovyo, Kama wewe ni msomi na degree yako ya uchumi lakini hujui jinsi ya kukokotoa GDP, Kenya mpo na shida sana

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,019
16,408
Hivi kwanini watu hawana utamaduni wa kukosoana na kuelimishana pasipo na kuvunjiana heshima na adabu.......kwanini inakuwa ngumu kumuelimisha mtu mpaka umtukane.....??

Ustaarabu wetu upo wapi kama binadamu.... thamani yetu na maana ya sisi kuelimika Nini....??

Kama tunashindwa kuhandle emotions kwenye mepesi kama haya tofauti yetu na wanyama wa porini nini.....??

Hizi forums ni kama shule kwa wengine....maarifa na elimu inayopatikana humu hata darasani huwezi kuipata.....tujifunze kuwasilisha hoja au mada kinzani pasi na kumtusi,kebehi au kumvunjia adabu aliyetoa hoja kinzani....na huo uungwana
Wewe ndio humuelewi huyu mtu. Huyu jamaa ni kichwa ngumu. Kumuelewesha haiwezekani kwa maana anajiona genius. Hafundishiki. Kinachobaki ni kumuanika wazi kila mtu aone alivyo zero kichwani.
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,019
16,408
Mimi sikufika chuo kikuu Kama wewe, lakini ngoja nikuonyeshe jinsi Elimu yenu huko Kenya ilivyo hovyo.

GDP ya nchi ya Sasa ya Kenya, ni mkusanyiko wa thamani wa huduma na bidhaa zilizozalishwa toka walipoanza kuweka taarifa za uchumi wa Kenya enzi za ukoloni.

Formulae inayotumika kujua GDP ya mwaka husika ni

GDP (current GDP)+ GDP growth rate
= New GDP
Kwa mfano

Kenya GDP ya mwaka Jana 2021(current GDP) ni $100B, na uchumi wenu mwaka huu 2022 unaongezeka kwa 5%(GDP growth rate), new GDP of 2022 ni

$100B(current GDP, 2021) + $5B(GDP growth rate of 2022 which is 5%)= $105B(New GDP 2022

Hiyo maana yake ni kwamba, kwa mwaka wa 2022, uchumi wa Kenya umeongezeka kwa $5B tu, sio kwamba umeongezeka kwa $105B, Kati ya $105B, kiasi cha $100B ni "Balance brought forward".

Umeelewa?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Leta evidence kwamba hivi ndivyo gdp inavyokuwa calculated. Leta source yoyote ambayo unayo. Usidhani watu ni wajinga huku.
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
24,796
34,570
Hivi kwanini watu hawana utamaduni wa kukosoana na kuelimishana pasipo na kuvunjiana heshima na adabu.......kwanini inakuwa ngumu kumuelimisha mtu mpaka umtukane.....??

Ustaarabu wetu upo wapi kama binadamu.... thamani yetu na maana ya sisi kuelimika Nini....??

Kama tunashindwa kuhandle emotions kwenye mepesi kama haya tofauti yetu na wanyama wa porini nini.....??

Hizi forums ni kama shule kwa wengine....maarifa na elimu inayopatikana humu hata darasani huwezi kuipata.....tujifunze kuwasilisha hoja au mada kinzani pasi na kumtusi,kebehi au kumvunjia adabu aliyetoa hoja kinzani....na huo uungwana

Tatizo anayeelimishwa hayupo, maana utakuta mtu king'ang'anizi ameshikilia huo ujinga na humwambii kitu, aidha uamue umpuuze kabisa au umvunjie heshima uchezee kibano cha mods.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

6 Reactions
Reply
Top Bottom