Recent content by progzo

  1. progzo

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau, TV yangu inawaka ila inatoa mwanga hafifu sana

    Tatizo kma lako limeikuta tv yangu wiki moja iliyo pita apo issue ni taa zimeungua fanya kupeleka kwa fundi itapona angalizo asiwe fundi wa vichochoroni utaipoteza tv yako.
  2. progzo

    JamiiForums Tanzania Ona jinsi watanzania tunavyopigwa bei kubwa bora ununue mtandaoni tu!!

    Uyo kajisahaulisha panga la TRA utaiacha gari yako bandarini bure
  3. progzo

    JamiiForums Tanzania Uvaaji mpya wa wanawake kwenye misiba unatia aibu

    Hakuna ata picture mkuu
  4. progzo

    JamiiForums Tanzania Hakuna simu mbovu duniani kama tecno

    We una badilisha samsung na vi2 vya ajabu
  5. progzo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitamshangaa mwanamke atakayeenda kujidhalilisha mbele ya RC Makonda

    Washa jaa mkuu uzi unge andaa mapema sema kma umearibu jaribu kuwasiliana nae mapema[emoji16]
  6. progzo

    JamiiForums Tanzania Kwanini simu za Samsung zinavunjika vioo kirahisi sana?

    Sana j7 zinaongoza
  7. progzo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuflash smartphone ambayo imejilock pin

    Leta ni kusaidie mara moja
  8. progzo

    JamiiForums Tanzania Kutoka Kisutu: Mbowe na viongozi wengine sita wa CHADEMA Wapata dhamana

    Acha kupotosha gari la jeshi halikamatwi!
  9. progzo

    JamiiForums Tanzania Nauza flat screen, fridge na microwave.

    Mbona umeumekuja na bei zako za mlimani city!
  10. progzo

    JamiiForums Tanzania JWTZ isikubali kutumiwa namna hii, itoe tamko

    Tatizo wengi wana mwamini yule dada wa ng'ambo kwa kila kitu Watanzania aliye2loga sijui kafia wapi!
  11. progzo

    JamiiForums Tanzania Huyu dogo nahisi alitaka kwenda kufanya jambo baya

    Leta na picture
  12. progzo

    JamiiForums Tanzania Mshahara umetoka?(23/03/2018

    Angalia account yako
  13. progzo

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kulitokea hii mvua ya samaki nchini Thailand?

    Ilitokea ya mawe
  14. progzo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nikipiga goli moja uume unachelewa kusimama

    Apa cha kwanza ondoa kabisa msongo wa mawazo kichwani jiamini kula vizuri pata maji ya kutosha fanya mazoezi kiasi pata mda wa kumzika nakuhakikishia utapiga mechi kali mno ata bao 5.
  15. progzo

    JamiiForums Tanzania Nikitaka kununua tv flat screen, ni brand ipi bora kwa sasa?

    Nunu brum ni android huto juta
Back
Top Bottom