Uvaaji mpya wa wanawake kwenye misiba unatia aibu

Wadada wa mjini sehem kama hizo ndio wote wanajifanya marehem alikuwa rafiki yao wa karibu...
 
Wewe ujue kutofautisha watu wa dar na watu wa mikoani waliohamia dar!!.. nyinyi mliokuja dar ndio tatizo mnaiga kila kitu hadi ushoga!!.. huo msiba wenu ulijaa machalii wa kaskazini wamejiremba na kujipamba halafu unawaita wa dar!!.. miyeyusho sana nyinyi wakuja
mkuu nakubaliana na wewe, mimi pia sio wa dsm lkn baadhi ya watu wa mikoani wakija dar hasa ambao hawajitambua wanaiga vitu mpaka kuwapita wadaslam wenyewe na ndio kama ivi sasa unaenda kijijini tena msibani umevaa tight na mtandio mwepesi ili iweje , mambo ya dar ambayo hayafai kijijini yaishie dar, apa mjini watu wapo busy na mambo yao hakuna wakumind hata ukivaa upuuzi wako. lkn kijijini mambo sio km dar kwanini uwakwaze wazee wa watu? fanya mambo/pangilia mavazi yako kulingana na mazingira.
 
Wanawake wa Dar wamegeuza furusa kila penye mkusanyiko wa watu siku hizi, kwenye Makanisa ndio balaa tupu.
 
Kuna wengine walisema hivi JamiiForums ...

zzz.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom