Recent content by profeas mbiti

  1. P

    Unawakumbuka wanamziki hawa ?

    Wapi awilo longomba, jibe mpiana,werrason ngiamakanda,braiz bulla?
  2. P

    Mwanamke aliyetayali kuolewa anahitajika

    shy mbona unacheka
  3. P

    Mwanamke aliyetayali kuolewa anahitajika

    Natafuta mwanamke aliyetayali kuolewa na awe na vigezo vifuatavyo: 1.Elimu kidato cha nne na kuendelea,2.Mwenye hofu ya Mungu,3.Umri miaka 25-30,4.awe ameajiliwa au mjasiliamali shwari tu, 5.Rangi maji ya kunde,6.Awe na dhamila ya dhati katika mapenzi na ndoa. Mimi sifa zangu ni kama ifuatavyo...
  4. P

    Je, una imani na Jeshi la Polisi?

    Policcm ni janga la kitaifa!
  5. P

    Tofauti kati ya YANGA vs Simba na MBEYA CITY vs Azam

    kwel tushakuwa kama waingereza mpira wa unachezwa kwenye media badala ya uwanjani hili liinch tabu sana!
  6. P

    Apigishwa mbizi kwenye dimbwi la maji ya barabarani kwa kukutwa katinga sare za jeshi

    Ndo shida ya kuajili watu waliofeli akili ndogo matokeo yake haya sasa mara wamepga trafic mara raia vurugu tupu!
  7. P

    Hii michepuko hatari

    mwanaume wa ukweli ni muhimu akaheshimu njia kuu!
  8. P

    Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanza Na Shilingi Elfu Moja

    Nafikir ni jambo jema kujiwekea akiba kidogokidogo ili mwisho wa cku uwe na kiasi fulan ambacho kitakusaidia na sio kila ukipata unatumia chote halaf unaanza kutapatapa!
  9. P

    Msaada tafadhali, anataka kuniroga

    mchepuko sio dili ona sasa jiande kufa tu!!
  10. P

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwl maduhu john Nipo same natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo kutoka mwanza,shinyanga,geita,au simiyu. 0758155759.
  11. P

    Ninakataa kwa nguvu, na mizimu ya Mzee Nyerere inisimamie!

    Binafsi sioni kama kuna shida kama mtoto wa fulani kuwa sehemu fulani! swala la msingi hapa anaweza kumudu hhyo nafasi?
  12. P

    Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

    mm npo tayali ni pm!
Back
Top Bottom