Hii michepuko hatari

Hii michepuko hatari

Kukuchepukia haimaanishi njia kuu haijisomi. Shabashiiiiii Mimi hata bill nisingelipia tuone mjanja ni nani
 
michepuko haina akili yani anamponda aliesababisha yeye achepukiwe, pumbafu.
 
Nipo hapa moja ya pub maarufu barabara ya Sam Nujoma. Jamaa mmoja yupo na mchepuko na rafiki wa mchepuko.

Mchepuko ukaanza kumponda wife wa jamaa. Mara ya kwanza jamaa akaona poa tu pengine kw sababu yupo tingas, lakini kashfa zilivyozidi jamaa kakasirika na kuamua kuinuka.

Mchepuko na shosti wake wamembembeleza jamaa lakini katia ngumu na kuondoka!!

Nimemsifu.
Baki njia kuu!!
da ningekuwe po ningempa 2zo
 
Kumsifu jamaa kuinuka ni sawa na kuipalilia michepuko
 
Word. Samaki samaki hatari kuna watoto, angalia mkuu usije kuchepuka. Usiulize nipo wapi!!!


hahaaa mkuu sikutaka distansi ile jana nikakonsentirate na kilichonipeleka, kutafuta sababu ya kubaki njia kuu!
 
Back
Top Bottom