Recent content by Prof. Engineer

  1. P

    Fundi yupi mzuri kwa compyuter hardware hapa dar?

    Kaka hiyo ni tatizo la processor ina over heat, so chakufanya install ubuntu 13.04-desktop-i386 itasaidia kwasababu haitumii processor sana kama win 7. Ila inaweza isizime mda wote au ikazima baada ya mda mrefu.
  2. P

    Msaada:: Computer yangu inachelewa kuwaka.

    scan pc kuondoa virus kwakutumia strong antirus kama Kaspersky na iwe updated 100% Install only one anti virus app kwenye pc yako Safisha windows yako kuondoa temp files. etc by using software like Ccleaner. Unistall unused softwares by using Revo Uninstaller Disable same startup programs Repair...
  3. P

    msaada laptop yagu inazima mara kwa mara tatizo nini ?

    check fan ya processor km inazunguka, na speed yake inalidhisha inaweza kuwa kunavumbi jingi kwenye fan au hit sink au processor ambalo linaweza sababisha processor haipoi sawasawa na kupata joto kali inayopelekea laptop kuzima.
  4. P

    Data za kisayansi katika video inayohusishwa na Lwakatare

    Hilo dili la mdamrefu sana mbona inaonyesha CompleteName : x….x…x/VID-20121228-00005 FileName : VID-20121228-00005 FileDate :28/12/2012 Ndo ilitengenezwa?
  5. P

    Msaada: Acer laptop mpya inahitaji password.

    uliinunua ikiwa hivyo? Km ulinunua ikiwa hivyo warudishie wenyewe. Km uluweka bila kufahamu nini unafanya tafuta mtaalam wa laptop aa flash bios setup na mambo yatakuwa safi kabisa.
  6. P

    Kwanini hatuwezi kupata Channel zingine DStv kama Startimes..... kwanini niwe na Decoder mbili?

    tanzania nchi isiyo na mipango endelevu, propaganda kila sehemu
  7. P

    naomba mnisaidie kujua tabia za wanaume wa kigoma(waha)

    Huwa sipend kabisa mtu aneongea English mahali ambapo si husika (UTUMWA)
  8. P

    Nauliza: Nii sahihi kwa polisi kutumia silaha ya kivita - SMG - katika shughuli za kiraia?

    Wabongo matatizo sana,mi ndo siku yakwanza kuingia jukwaa la kisheria, nikaona hii mada nikapenda niangalie nitajifunza nn kwenye hii mada kwan kiukweli siko dip maswala ya sheria so nikaona nitajifunza kitu badala yake ni mafunza tu. Mtu ameuliza badalaya kujibu inavyotakikana unakuja ubishi wa...
  9. P

    Naomba elimu kuhusu Ubuntu OS

    Yap ziko nyingi sio playonlinux pia kuna wine n.k. Ila c friend user km windows kaka.ni rahisi kidogo kwa mtu ambaye ananokNwoledge na mambo ya IT OTHERWISE NI MZIGO.
  10. P

    Naomba elimu kuhusu Ubuntu OS

    ni ngumu tofauti na windows pia inatumia commands kufanya installation za software zingine tofauti na window kaziyako kuclick setup na next and finish, kifupi iko complicated zan windows.
  11. P

    Nisaidieni jinsi ya ku config Airtel internet

    KAKA toa maelezo yaliyotimia, jaribu port nyingine ya USB km haitasaidia nijulishe
  12. P

    Nokia internet connect

    nokia ya kichina au orginal, pia unatumia matandao gani?
Back
Top Bottom