au kama unajiamini kufungua laptop fungua kwa nyuma (mara nyingi inakuwa sehem karibu na RAM au harddisk) utaona ka betri flani hivi kama la saa litoe kisha washa pc yako then zima halafu uirudushie then washa pc yako...ita futa kumbukumbu zote za CMOS ikiwemo bios settings..then unaingia kwenye bios setup na kuset upya..
Habari wanajamvi. TATIZO LANGU NI KWAMBA NIMENUNUA ACER LAPTOP NIKITAKA KUINGIA KTK BIO SETUP INANITAKISHA PASSWOD. KWA TATIZO ILI SINA HATA UWEZO WA KUIFORMAT. DOCUMENTS ZOTE ZA UNUNUZI ZIPO, JE NIFANYEJE? NAOMBA MSAADA KWA TATIZO HILI.
SHUKRANI MBELE.