Fundi yupi mzuri kwa compyuter hardware hapa dar?

Fundi yupi mzuri kwa compyuter hardware hapa dar?

Dumelang

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
3,274
Reaction score
5,938
laptop yangu ilianza ka maskhara sasa imezidiwa, inajizma ghafla during window resume, ikifanikiwa ku resume hadi mwisho basi soon niki play music or video itajizima hapohapo, kwenye safe mode inasimama ila pia naona ikikaa sana inajizima.

nahtaji fundi mzuri atakae iokoa, na mzoefu wa toshiba brands, haijawai funguliwa.
hii ni toshiba satellite Pro U500 - 18J

Suala la pili hili nadhani siyo la ki hardware, msaada pia nikiweka heavy games mf action, haiplay inasema "NO D3D" hata movie maker 2012 na nyinginezo, ukiinstall haifanyi kazi, ina win 7 ultimate, RAM 1GB, processor 1.5 GHZ

Ahsanten
 
Fundi mzuri nipo hapa. Ni pm nikupe mawasiliano. Toshiba kwisha habari yake.
 
Kaka hiyo ni tatizo la processor ina over heat, so chakufanya install ubuntu 13.04-desktop-i386 itasaidia kwasababu haitumii processor sana kama win 7. Ila inaweza isizime mda wote au ikazima baada ya mda mrefu.
 
Atainstall ubuntu mda gani wakati kasema inajizima during resuming. Hiyo ubuntu desktop inataka 40minutes kuinstall. Tatizo ni la hardware huenda cpu fan imechoka au cooling system imeziba. Kama kweli hujawahi kuifungua itoe cooling system uipige blower.
 
Ahsanteni kwa michango yenu, nmefanikiwa ku solve baada ya kusoma kwenye forum moja ya toshiba, ingawa sijui kama nimedhibiti au itajirudia, kwasasa naona ipo pouwa jana nimeipigisha mzigo mzito haijazima,.

nilisolve hivi, nilipowasha nikaminya f2 ikazindikia upande huo cjui wataalam mnauitaje.
then Advanced tab pale kuna option kibao
Kewnye, Dynamic CPU Frequency Mode nikachange kutoka "dynamic to always low"
nikasevu nika restart. kazi kama dawa
now i dont know kama ni guarantee au vipi, ila nataka ikasafishwe

Back
Top Bottom