Recent content by Priss

  1. P

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe achunguzwa kuvuna PAP

    you must have bracketed mission towards ZZK.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

    Zitoooo!!!!!!!1 Jibu basi na hoja zile za kupiga lile dili na yule mama wa kijerumani?! Zitoo nakukubali kwa kujitetea huku ukiwa umepiga. Watanzania wasiofuatilia mambo yako watakukubali sana Zitto, lakini kwa sisi tunaokufuatilia hutudanganyi. Kwa mfano sasa hivi unatafuta namna ya kusafisha...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mrithi wa John Heche huyu hapa

    zitto kabwe apewe ili aongoze bavicha na act
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nina Imani kubwa na CHADEMA - Prof. Baregu

    wachukulie huyo msalani na lizaboni wameshinda. -si kosa lao ila ni kwa sababu wanafikiri hivyo.-
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mliokuwa mkimtetea Flora Mbasha mko wapi? mteteeni tena

    mbashaeeeeeee -sikiliza bwana! Mtafute Mrs Gwajima umweleze maombi yale aliyoombwa flora na akiimba na kucheza na wewe basi mchukue flora mkeo umlete nyumbani kwa kuwa maombi yamekuwa pande zote. ikiwa wa kwako bwana atambariki mapema ni afadhali maana atakayebarikiwa baadaye atakuwa anatia...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mliokuwa mkimtetea Flora Mbasha mko wapi? mteteeni tena

    Maombezi yamefikia mahali pake. Maombi yakafanyika kuombea watu wengine na mwingine naye akamuomba mwingine na mwingine akaimba na kucheza hadi mwingine akaona utukufu wa mwingine na mwingine akalala wakaendelea kuimba hata aliyekuwa anaimba kwa kucheza akapata alichokuwa anaomba. Umesema...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

    Yesu pekee ndiye aliyefunga siku 40 mchana na usiku wengine wanagonga usiku mchana wanaigiza
  8. P

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

    usanii.- vipi kuhusu ajira za wavuvi?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Tundu A. M. Lissu hapuuziki

    utamheshimu muda ukifika
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amchana chana Lissu Hadharani

    Serikali imetakiwa kutoa maelezo bungeni, kuhusu sababu za kuuawa kwa waasisi sita wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wanaodaiwa kuzikwa katika handaki moja Zanzibar. Akiwasilisha maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Makamu wa Rais...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Taarifa rasmi ya kuhama CHADEMA na kujiunga na CUF.pamoja na sababu zake.

    Ni maadui kwa sababu wanapata vikura na kukupa changamoto. mbona mwaka 2005 cuf ndio walikuwa maadui? hivi CUFI hawapoeeeeee? Inaelekea uwezo wako una matata. :flypig:
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mh. Kificho, awa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba

    ujinga!!!!!!! nenda shule kajifunze mantiki.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Arusha: Chadema yaendelea kuitesa CCM Sombetini

    TAHADHARI MAKAMANDA WA ARUSHA TAFADHALI ZINGATIA SANA HILI: siku za mwisho za kampeni wana sendoff watawaletea zengwe. Cha kufanya muwe makini na mazengwe na ikiwezekana chapa mtu vibaya hadi ajinyee. wakati mwingine sheria itafuata mkondo wake. kumbuka Kamanda Mbowe alimzibua Mkurugenzi makofi...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Unabii wa Nyerere umetimia Sudani

    Kwa ufupi Zanzibar inahitaji kujitawala. Hakuna anayefahamu maslahi ya wazanzibari zaidi ya wao wenyewe. Na haiwezekani viongozi wa Tanganyika wakawafahamu wazanzibari kwa kuwa kuna wengi wao hawajawahi kufika chumbe. Wapo pia wazanzibari ambao hawajawahi kufika kizimkazi wakaona mataa ya dar es...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kwa Mwezi mmoja CHADEMA inapokea Millioni 237, kama ruzuku kutoka Serikalini...

    acha uzee na ujinga wa utotoni
Back
Top Bottom