Nina Imani kubwa na CHADEMA - Prof. Baregu

Hakuna anachojua naye huyu babu chadema itafika mbali wapi zaidi ya arusha na moshi anatia aibu kuongea uongo kama zuzu.

Ajitengaye na wengi anatafuta matakwa yake mwenyewe,chadema iko mkoa wa geita,simiyu,mwanza mara,kagera,singida,morogoro,iringa,njombe,songea,mbeya,katavi,kigoma,unguja,Tanga,Dar es salaam,pwani,Tabora,manyara na kwingineko ,au mlipoona upepo umegeuka Mtwara na Lindi mkapiga marufuku,ndio unajifariji?
Ngoja uchaguzi wa mtaa utaijua chadema je,iko Arusha na moshi?
 
Hakuna anachojua naye huyu babu chadema itafika mbali wapi zaidi ya arusha na moshi anatia aibu kuongea uongo kama zuzu.
unajua nini wewe buku 7 zaidi ya kuwaza hayo malipo yenu ya kijinga.
 
Mbowe ni kiongozi bora mwenye hekima, stara, jemedari wa vita asieogopa mashambulizi ya adui, mwana mikakati yenye tija, shupavu, jasiri, mzalendo, mpenda watu, mchukia umasikini dhulma na uonevu... Hongera Mbowe na tmu yako ya ushindi... Chini yako Dhahabu itatunufaisha, Almasi itaondoa njaa kwa Watanzania, Uranium itatupaisha kwenye nishati, Gesi itatutajirisha watanzania... Mbuga za Wanyama, mt Kilimanjaro zitatuhakikishia maisha bora kwa vizazi vijavyo... Chini yako hatutasikia tena UFISADI wa Kodi zetu...
 
Kwa sasa Freeman Mbowe ndiye Mwenyekiti bora zaidi Tanzania.
 
wachukulie huyo msalani na lizaboni wameshinda. -si kosa lao ila ni kwa sababu wanafikiri hivyo.-
 
Ukanda na Ukabila mbaya sana,alipotofautiana mawazo na MBOE na Slaa mulimwita msaliti na kanunuliwa na CCM,leo mawazo na mtazamo sawa munamsifia na munamuona shujaa!!
 
Simple but clear....huu msemo japo ni clinch'es lakini unafaa kabisa kutumika
 
Prof Baregu mulimtukana sana humu JF kwa matusi ya wazi kabisa pale alipotoa ya moyoni juu ya mwelekeo wa chadema na siasa zake! Mulimshambulia huyu Mwl wangu na roho iliniuma sana kwa maana namjua msimamo wake!

Vijana wa Bavicha mulimvua nguo huyu Mzee wa watu na Kama kawaida yenu mulimuita Msaliti! Leo hii mnakaa mnasema uzee dawa? Haya maneno yanatoka moyoni au? Poleni sana!

Hivi ni yupi ambae hamjawahi kumuita msaliti ndani ya chama chenu? Mbowe alipompigia Magoti JK kumshukuru kwa kazi nzuri yaani mulimporomoshea mitusi ati msaliti mkubwa ndani ya chama!

Kazi mmnayo nyie kwenu kila mtu akinena baya basi ni msaliti!
 
Naona mapepo yamekupanda,muone Lusekelo akuombee yakutoke!
 
Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Professor Mwesiga Baregu amesema ana Imani kubwa na chama chake katika kuleta uongozi bora nchini.

Professor Baregu aliyezungumza na waandishi nje ya Ukumbi ambao mkutano wa Kamati Kuu ukiwa unaendelea amesema kuna watu ambao wanakesha wakiomba ili Chadema isambaratike lakini akaonya watu wa aina hiyo watasambaratika wenyewe.

Kiongozi huyo ambaye alikuwa mjumbe wa Tume ya Katiba amesema kwa umri wake ameona na kupitia mambo mengi katika siasa na hivyo akasema ana uhakika Chadema itafika mbali katika siasa za Tanzania.

Hayo ni maneno na msimamo sahihi wa Prof wa kweli sio kama wale Maprofesa Mwongo au Profesa Maji.
 
Back
Top Bottom