Arusha: Chadema yaendelea kuitesa CCM Sombetini

Arusha: Chadema yaendelea kuitesa CCM Sombetini

Kwa mie namsubiria Kamanda Ally Bananga aapishwe tu maaake tayari keshashinda uchaguzi na kutangazwa na wana Sombetini Arusha
 
TAHADHARI MAKAMANDA WA ARUSHA TAFADHALI ZINGATIA SANA HILI: siku za mwisho za kampeni wana sendoff watawaletea zengwe. Cha kufanya muwe makini na mazengwe na ikiwezekana chapa mtu vibaya hadi ajinyee. wakati mwingine sheria itafuata mkondo wake. kumbuka Kamanda Mbowe alimzibua Mkurugenzi makofi halafu kesi ikaishia kunako hadi leo hii.

kamandas
 
mtabaki na majungu
wakati CDM inasonga mbele
hakuna mtanzania wa leo anaependa tena kudanganywa na siasa za maji taka
CCM wamekosa cha kuongea wanapika majungu...timizeni ahadi zenu kwa wananchi

Bangi inawasumbua hawa watu maana huku Arusha lema alali tena nyumbani analala nairobi shine gest house baada ya wanasombetini kumgomea

Akipanda jukwaani hana hoja tena zaidi ya kusema uongo kuwa mwenyekiti wa ccm anakatakata watu hooo mgombea marra mjusi ila zamuhii hatoki
 
CCM wanashindwa tu kusema hawataingiza timu uwanjani lkn kiukweli wamechoka, wapo hoi.....siipendi CCM lkn naanza kuionea huruma, CDM nanyi hata huruma hamna kwani hamjui mwenzenu kazeeka na hajafanya usajili msimu huu wote, na hata katika dirisha dogo pia hajasajili, punguzeni speed japo nao wajipange kha! majuzi kati mumemchapa 4-0 sasa tena munataka kumuadhiri............
 
CHADEMA imewajengea wananchi ujasiri Wa kuhoji mambo mpaka rahaa; yaani ubinadamu unarudi baada ya binadamu kujitambua kupitia mwokozi CHADEMA
 
Bangi inawasumbua hawa watu maana huku Arusha lema alali tena nyumbani analala nairobi shine gest house baada ya wanasombetini kumgomea

Akipanda jukwaani hana hoja tena zaidi ya kusema uongo kuwa mwenyekiti wa ccm anakatakata watu hooo mgombea marra mjusi ila zamuhii hatoki

Amina my girl friend , bado ukiwa kwenye siku zako bado unakua na kichaaaa, pole sana
 
Mgambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
CCM ipo madarakani kutokana na baadhi ya watanzania wajinga...imagine wananchi wa mikoa yote wangekuwa na fikra na muamko kama wa wakazi wa Arusha...CCM leo ingekuwa wapi kama si kaburini?
 
Mlifikishana wapi na JUMANNE MJUSI?

Du aibu, naona umabaki mtetezi pekee wa ccm, wengine wote wamekimbia. Faiza Foxy nasikia amejifungua mimba ya Chadema!! Sku hizi katulia!! Wewe Msalani blabla za nini? Bado tu uko na Sometini? hakuna kitu pale ccm mmeumbuka!!
 
Wana CHUGA pambaneni kwani tumechoka kuibiwa na kuburuzwa, hawa CCM wamefanya Taifa letu kuwa masikini na Tegemezi basi tuungane kwa pamoja kwa Maombi na Sala Na hoja zenye Mashiko Mungu ibariki CHADEMA,Mungu Bariki wanachama wapenda Maendeleo eimen.
 
Wakuu huyo mtoto wa katikati mwenye shati la draft kama yupo humu ani-pm plse.
 
Bangi inawasumbua hawa watu maana huku Arusha lema alali tena nyumbani analala nairobi shine gest house baada ya wanasombetini kumgomea

Akipanda jukwaani hana hoja tena zaidi ya kusema uongo kuwa mwenyekiti wa ccm anakatakata watu hooo mgombea marra mjusi ila zamuhii hatoki

Naomba unisaidie kusoma ulichoandika ,KAMA UNAWEZA.
 
Yote hii inasababishwa na u-jobless wa kujitakia, Kijana umeshafikisha umri wa miaka 18, hutaki kujishughulisha na vitu vya kukuletea maendeleo, wewe kutwa kucha kiguu na njia kufuata mikumbo isiyo na faida kwako. Matokeo yake ndio haya unataka kumuua mtanzania mwenzio kisa ni itikadi za kisiasa. Hii CHADEMA imeharibu vijana wengi sana!
CCM wote mnaajira na chadema nidiyo wenye haki ya kufa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom