kaja
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 461
- 120
Mbona mimi Lissu ni mmoja wa wabunge ninaowadharau? Akifuatiwa na LEMA?
Kwa upeo wako wakigamba utamdharau ila kwa hoja zake hamna hata mmoja kutoka Lumumba anaweza akaijibu
Mbona mimi Lissu ni mmoja wa wabunge ninaowadharau? Akifuatiwa na LEMA?
Inategemea na namna yako ya kufikiri, kuna watu pia walizidharau sana Almasi hadi wakawa wanachezea BAO, walipoletewa goroli za kuchezea bao wakamdharau zaidi mleta goroli kwamba hana akili kwa kuwapa hizo goroli kwa kubadirishana na Almasi. so binafsi sikushangai kwa mtazamo wako huo!Mbona mimi Lissu ni mmoja wa wabunge ninaowadharau? Akifuatiwa na LEMA?
Mkuu hebu tupige kura hapa hapa JF ili tuone kati yako wewe, Lissu na Lema nani ataongoza kwa kudharauliwa.
mbona mimi lissu ni mmoja wa wabunge ninaowadharau? Akifuatiwa na lema?
Lissu hahitaji kuheshimiwa na wewe intarahamwe ukiwa na wenzio Msomali kinana eti nae mzalendo.Ndgu yenu mwingine Nape na naibu waziri wa fedha Mchemba sijui hata Rais aliwatoa wapi nyinyi ni mashetani ila mwisho wenu umefika!Mbona mimi Lissu ni mmoja wa wabunge ninaowadharau? Akifuatiwa na LEMA?
utamheshimu muda ukifikaMbona mimi Lissu ni mmoja wa wabunge ninaowadharau? Akifuatiwa na LEMA?
Tangu kwenye kuanza kwa Bunge hili la kumi,Wakili Msomi Tundu A.M.Lissu (Mbunge wa Singida Mashariki-CHADEMA) amekuwa akizungumzia suala la Muungano mara kwa mara. Amekuwa akitoa wito,kwa nyaraka na shahidi mbalimbali, wa kurekebishwa makosa mbalimbali yaliyopo katika Muungano tulionao ili kusonga mbele kama Taifa. Lissu aliendelea kulichambua suala la Muungano kwenye Bunge Maalum la Katiba na hata leo katika Bunge la Bajeti linaloendelea Dodoma.
Kumekuwa na 'mradi' wa wapinzani wake wa kutaka watanzania wampuuze Lissu.Kwamba eti anayoyaongea ni ya kichochezi na hayana maana na msingi kwa Tanzania tuliyonayo. Mimi naamini kuwa Lissu hapuuziki katika hili. Anavyoonekana, amefanya utafiti wa kutosha katika suala hili. Anachokisema popote awapo anakijua,anakiamini na ana uhakika nacho. Hoja hii kwa Lissu sasa imekuwa nyepesi na anaimudu vyema.
Aitwe mchonganishi na mkorofi lakini ataendelea kusema. Kwakuwa anajua anachosema na kumaanisha. Ifike mahali,Serikali itumie hoja za Lissu katika kuuboresha Muungano huu uliopo kwa kurekebisha kasoro anazozitanabaisha Lissu. Kwa vijembe,kejeli,kelele,makofi na vigelegele hoja za Lissu zitabaki na zitaendelea.
teh teh, je mwigulu ameshinda kesi ngapi?Lissu hana jipya mropokaji tuu, mtu ambaye hajawahi kushinda kesi
umemsahau mwigulu, lusinde na hata komba!lisu ni kati ya wabunge vilaza. wengine ni lema, msigwa,sugu
Lissu hajatumia busara kutoa maneno ya kashfa kwa waasisi wa Taifa hili na hilo limemshushia heshima sana.....
Mkuu, neno gani la kejeli alilotoa dhidi ya waasisi wa muungano. Kama kawaita matapeli na waongo na ndivyo ilivyo hayo si matusi wala kejeli. Ni maneno gani katoa?Lissu hajatumia busara kutoa maneno ya kashfa kwa waasisi wa Taifa hili na hilo limemshushia heshima sana.....
Mbona mimi Lissu ni mmoja wa wabunge ninaowadharau? Akifuatiwa na LEMA?
Kwakuwa unatumwa na CHADEMA kufanya uchochezi, unadhani kila mtu ni dizaini yako? Wengine sisi ni wazalendo, tunaipenda nchi yetu, na tunaipenda Amani.
Wakati wa Bunge la Katiba Ndugu Lissu kabla ya kuanza kuchangia hoja ya ama serikali mbili au tatu alisikika akisema "aliyezoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi" aliporekebishwa na mwenyekiti aliyaondoa maneno hayo na kutumia mengine yanayofanana na hayo kimantiki yaani "aliyezoea kuishi kwa uongo hawezi kuwa mkweli". Mara baada ya utangulizi huo aliendelea kunukuu maandiko ya Dr. Mwakyembe, Prof.Shivji kuthibitisha kauli yake ya awali kwa kuonesha ukigeugeu wao kuhusu muundo muafaka wa muungano. Baadaye akanukuu mahojiano ya Mwl. Nyerere huko nyuma mara baada ya muungano aliposema kuwa Zanzibar walikuwa na uhuru wakuchagua ama kuendelea na muungano au la na Tanzania isingewalazimisha kwa mabomu na akalinganisha na maamuzi yaliyofanyika baadaye kumuondoa madarakani Ndg. Aboud Jumbe kama mfano wa ukigeugeu wa Mwalimu. Nadhani hili la mwisho ndio wapinzani wa Lissu wanalitumia kujenga hoja kuwa alimkosea heshima Hayati Baba wa Taifa.Mkiulizwa ni maneno yepi hayo mnakimbia........bs kwa vile wewe upo hapa ebu tuwekee kumbu kumbu ya hizo kashfa walizopewa waasisi wetu shekhe wangu?
Labda na sisi tutashawishika na kuungana na uvccm na kinana na nape katika kampeni ya kumwadabisha huyu cha utundu lisu