Mrithi wa John Heche huyu hapa

Mrithi wa John Heche huyu hapa

Kikwete amewaharibu misukule ya magamba na siasa za udini na ukabila...chadema hatuna udini...bakini na udini huko kwenu magamba.

Watafute jengine sasa maana njia yao kuu ya kutu divide ili washinde kwa kukomalia propaganda ya UDINI. moja ya faida za UKAWA umetusaidia kupunguza hisia za UDINI zinazopandikwizwa na Misukule ya MAGAMBA kati ya CHADEMA na CUF na UKAWA walipotoa TAMKO la kuendelea mpaka UCHAGUZI MKUU,,, Maintarahamwe yanaumia na kuweweseka kila uchwao.
 
Kwa hapa hata mimi naungana na wewe, Mawazo kama umri unatosha ana fiti, Tatizo lake alikuwa Gamba tuu zamani. Mwenyekt ajaye Tupate mwenye sifa zote km za mawazo na itapendeza zaidi akose sifa moja tuu yakutoka Ugambani.
Tunataka kiongozi akisimama jukwaani anaeleweka BENSAANANE DOMO ZITO MKUU, HAWEZI JUKWAA HATA DAKIKA TANO KWA WANAO MFAHAMU ANA VIDOLE VYEPESI KUANDIKA KWENYE SOCIAL MEDIA TUU. Tukipata Mwenyekiti wa dizain hii hatoishimika na anaowaongoza SINA BIFU NA BEN na ni rafik yng lakini naipenda sana BAVICHA yangu.

Umeanza kampeni za kijinga mkuu
 
Ni vituko mkuu wangu

Mwaka huu utanzisha tena kundi lingine la usalitu sibiri kijana wapo waliotumika na Mbowe na kuleta Impact ndani ya Chama.we unafikiri kukesha hapa JF utapewa wenyekiti kama Heche.Jimbo lenyewe hupewi Selasini ameshashtukia njama zenu za kutaka kumngoa upewe wewe pandikizi.
 
Mkuu naona unajipigia chapuo kistaili, we mbayaaaaa.
Eti kuna mmoja amesema una vidole vyepesi lakini domo zege. Hii imekaaje? Ha ha ha!
Domo Zege Kwani kuna kazi za kutongoza mademu kule?
 
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema Taifa John Heche anamaliza muda wake wa uongozi wa Baraza hilo baada ya kuliongoza kwa mafanikio makubwa.

Binafsi nimetafakari na kupata jawabu la nani atakuwa mrithi wa nafasi hiyo ya juu ya uongozi wa vijana ndani ya chama hicho.Kijana mwenye sifa na uwezo wa kuongoza baraza hilo ni SALIM YUSUPH MPANDA kijana mdogo kutoka Gairo Morogoro.

Ni mtu mwenye tabia njema,upeo wa hali ya juu na uwezo mkubwa kisiasa.Ni msikivu,mwepesi wa kukiri mapungufu yake na kujiwajibisha mwenyewe pindi ashindwapo jambo.Ni mtu ambaye huwezi kutofautisha maneno yake na matendo yake.Siyo mnafiki na kigeugeu.
 
Huyu anatumia viroba gani maana alivyokuwa anatumia heche ni hatari sana
 
Natamani awe MOHAMMED MTOI.Itasaidia kuitangaza CDM mkoa wa tanga usio na hats mbunge mmoja wa CDM.
 
Kwa hapa hata mimi naungana na wewe, Mawazo kama umri unatosha ana fiti, Tatizo lake alikuwa Gamba tuu zamani. Mwenyekt ajaye Tupate mwenye sifa zote km za mawazo na itapendeza zaidi akose sifa moja tuu yakutoka Ugambani.
Tunataka kiongozi akisimama jukwaani anaeleweka BENSAANANE DOMO ZITO MKUU, HAWEZI JUKWAA HATA DAKIKA TANO KWA WANAO MFAHAMU ANA VIDOLE VYEPESI KUANDIKA KWENYE SOCIAL MEDIA TUU. Tukipata Mwenyekiti wa dizain hii hatoishimika na anaowaongoza SINA BIFU NA BEN na ni rafik yng lakini naipenda sana BAVICHA yangu.

kutoka ugambani sio issue maadamu kaokoka kutoka huko,kama anauwezo anakunwa na matatzo ya wtz,sio mlafi,muoga,anauwezo ni mwanachama,apewe nafasi... Kutoka ugambani sio tatizo hata kidogo #mawazo anapiga kazi kuliko hata waliozaliwa ndan ya chama! Bila kusahau Ali Bananga........kama sio mawazo basi Ben wa Saanane ni halali yake,tumpe tu!
 
Hakuna haja ya kujianzishia thread humu ukilenga kupima upepo na matarajio yako yakaenda ndivyo sivyo na sasa unaanza kutukana watu

Mnaweweseka nini .?

Hizi ni hofu tu, hebu fanyeni kazi huko badala ya kufikiria namna ya kumchafua Ben Saanane kila saa kwa ajili ya Uenyekiti.

Mkuu achana naye huyo anaweweseka kwa kuogopa ushindani.
 
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema Taifa John Heche anamaliza muda wake wa uongozi wa Baraza hilo baada ya kuliongoza kwa mafanikio makubwa.

Binafsi nimetafakari na kupata jawabu la nani atakuwa mrithi wa nafasi hiyo ya juu ya uongozi wa vijana ndani ya chama hicho.Kijana mwenye sifa na uwezo wa kuongoza baraza hilo ni SALIM YUSUPH MPANDA kijana mdogo kutoka Gairo Morogoro.

Ni mtu mwenye tabia njema,upeo wa hali ya juu na uwezo mkubwa kisiasa.Ni msikivu,mwepesi wa kukiri mapungufu yake na kujiwajibisha mwenyewe pindi ashindwapo jambo.Ni mtu ambaye huwezi kutofautisha maneno yake na matendo yake.Siyo mnafiki na kigeugeu.

Mkuu isijekuwa ni wewe mwenyewe hapo unajipigia promo?
 
Siasa za kishamba hapo lumumba zimewaharibu sana vijana,zimewafanya muwe misukule,msioshughurisha ubongo na wenye hoja nyepesi za kukarilishwa.

hahahaha. Karibu futari.
 
Nesoma weee hii thread wishowe nimeugua mixed tone syndrome.

Naoma mmetajana weeee.

Anyway siku ukitangazwa ndo ntaona timbwili.

Magamba na tawila lao la ACT aka Mpesa wing nao hawako nyuma. Haha
 
Mwaka huu utanzisha tena kundi lingine la usalitu sibiri kijana wapo waliotumika na Mbowe na kuleta Impact ndani ya Chama.we unafikiri kukesha hapa JF utapewa wenyekiti kama Heche.Jimbo lenyewe hupewi Selasini ameshashtukia njama zenu za kutaka kumngoa upewe wewe pandikizi.

ben saanane ni domo zege halafu ana kigugumizi, hawezi kuhutubia hata kwa dakika mbili
 
Back
Top Bottom