Unabii wa Nyerere umetimia Sudani

Unabii wa Nyerere umetimia Sudani

na wewe na huyo nabii wako wa uongo....si huyo nyerere aki support hiyo sudan ijitenge?
Si yeye akisaidia kwa mafunzo?
Garang alikua hapa akisoma na kupata misaada....yote ni udini tuuuu
na anayo zungumzia nyerere kuhusu zanzibar ni udini pia haoni raha kuona waislam kule visiwani wakijitawala....walitawaliwa ...lakini ana ndoto ya kuwatawala ili kuhujumu uislamu

kwani kabla ya huu muungano si ilikuwapo zanzibar tena kubwa zaidi,

maneno ya nyerere ni ya unafiki na fikra za kikoloni..wagawe uwatawale....hii ndio falsafa yake kwa visiwa vile huu ni ukweli hata kiama...yule mzeee alikua ana chuki hasa na waislam wa zanzibar .
1995 nyerere alikuwepo akimpgia kampeni mkapa....alizunguka nchi nzima mpaka kapata ugonjwa ulomuondoa.
Kule zanzibar chama chake kilikua na hali ngumu...na matokeo rasmi ya wasimamizi ni kuwa ccm ilishindwa....CCM IKAPEWA USHINDI WA CHUMBANI tena kwa amri ya siri ya ccm na nyerere alukuwapo na anayajua haya,
mgogoro ukaibuka....watu wakatiwa misuko suko, walitiwa ndani na polisi walifanya uovu mbele ya camera za tv..nyerere yupo macho ..kama alikanyaga zanzibar mpaka amekufa....
Nyerere hakua na nia njema na zanzibar hata kidogo...aliacha ugomvi ule yeye akisulihisha migogoro ya watusi wenzake....zanzibar haikumhangaisha......zaidi ya kutoa matamko kama hayo ya kuwagawa.....alisema wazi kabla ya uhuru kuwa laiti angekuwa na uwezo basi angevi sokomeza mbali baharini visiwa hivi na kuvifukia...huyo ndio nyerere na zanzibar...
Wadanganye watoto na wanywa maji ya kijani
Wewe siyo mzima unahitaji matibabu tena ya dawa za kienyeji kabisa zenye wingi wa mwarobaini.
 
Ulichosema kuhusu Tanzania ni swa lakini unakumbuka kuwa Wapemba wengi hawautaki muungano au wanataka wa Nkataba atii! lakini upande mwingine waunguja wanaupenda muungano uendelee na udumu, Je hapo huoni kuwa kama muungano usipokuwepo/ukivunjika Unguja na Pemba zitatengana?

Huwezi kufananisha Mungano wa Zanzibar na Tanganyika na Sudan,kumbuka Zanzibar na Tanganyika zilikuwa ni nchi huru zilizoamua kuungana kisiasa.

Sudan ilikuwa nchi moja iliyoamua kujigawa kisiasa,hii yote ni kutokana na ubadhilifu wa upande mmoja wa sudan ya warabu kuwabagua na kuwanyanyasa wenzao wa kusini Dinka na Nuer., ndio maana wasudani wakusini wakaamua kujitenga na wenzao wa kaskazini

Mungano wa Tanganyika na Zanzbar baada ya upande mmoja wa mungano kujifanya wanaume na upande wa pili kufanywa wanawake ndio maana upande wa wanawake(zanziabar) wameamua kujitoa kwenye ndoa ya muungano

Hiyo ni mifano ilioyofanana lakini iko tafauti.tafakari
 
Acha kupayuka kasome kwanza historia ya Sudan kalba na baada ya uhuru, Nyerere alikuwa hapendi ukaburu wa wasudani wenye asili ya kiarabu dhidi ya Wenzao weusi, Hata huko Sudan Khartom kuna watu wa kabila la Wanubi hawa jamaa wanatengwa sana kwa kuwa eti ni weusi wakati wao ndiyo walioanza kukaa maeneo ya north Sudan ktk ukingo wa mto Nile.

na wewe na huyo nabii wako wa uongo....si huyo nyerere aki support hiyo sudan ijitenge?
Si yeye akisaidia kwa mafunzo?
Garang alikua hapa akisoma na kupata misaada....yote ni udini tuuuu
na anayo zungumzia nyerere kuhusu zanzibar ni udini pia haoni raha kuona waislam kule visiwani wakijitawala....walitawaliwa ...lakini ana ndoto ya kuwatawala ili kuhujumu uislamu

kwani kabla ya huu muungano si ilikuwapo zanzibar tena kubwa zaidi,

maneno ya nyerere ni ya unafiki na fikra za kikoloni..wagawe uwatawale....hii ndio falsafa yake kwa visiwa vile huu ni ukweli hata kiama...yule mzeee alikua ana chuki hasa na waislam wa zanzibar .
1995 nyerere alikuwepo akimpgia kampeni mkapa....alizunguka nchi nzima mpaka kapata ugonjwa ulomuondoa.
Kule zanzibar chama chake kilikua na hali ngumu...na matokeo rasmi ya wasimamizi ni kuwa ccm ilishindwa....CCM IKAPEWA USHINDI WA CHUMBANI tena kwa amri ya siri ya ccm na nyerere alukuwapo na anayajua haya,
mgogoro ukaibuka....watu wakatiwa misuko suko, walitiwa ndani na polisi walifanya uovu mbele ya camera za tv..nyerere yupo macho ..kama alikanyaga zanzibar mpaka amekufa....
Nyerere hakua na nia njema na zanzibar hata kidogo...aliacha ugomvi ule yeye akisulihisha migogoro ya watusi wenzake....zanzibar haikumhangaisha......zaidi ya kutoa matamko kama hayo ya kuwagawa.....alisema wazi kabla ya uhuru kuwa laiti angekuwa na uwezo basi angevi sokomeza mbali baharini visiwa hivi na kuvifukia...huyo ndio nyerere na zanzibar...
Wadanganye watoto na wanywa maji ya kijani
 
Hao wanaohangaika Zanzibar ijitenge ukiwauliza huwa hawana majibu ya ushawishi ndiyo maana hawafanikiwi.

Anko Sam acha kujichanganya, Hata principle inahitaji busara na akili ya kuweza kui apply, hata kama Nyerere alisema kwamba hiyo ni principle ya MwenyeziMungu na sio principle ya mwl Nyerere je hao wanaohangaika kutaka Zanzibar ijitenge hawaijui hiyo principle kama ipo? au ni mazezeta?
 
Yeye Mwl. Nyerere alitamka kuwa 'hiyo ni principle ya Mwenyezi Mungu na wala siyo sheria ya Nyerere', wale wote wanaodhani wakijitenga watanufaika kwa kujipatia madaraka na ukwasi, wanajidanganya-wataendelea kugombana kwa visingizio vya ukabila, udini au ukanda. Ni watu hasa waliofilisika kisiasa ndiyo wanapenda hizi short cuts.
Hapana - usiweke maneno mdomoni mwa Mwalimu Nyerere! isikilize tena hotuba hiyo. Hakusema 'hiyo ni principle ya Mwenyezi Mungu' bali alisema 'hiyo ni sheria ya historia....'.
 
Acha kupayuka kasome kwanza historia ya Sudan kalba na baada ya uhuru, Nyerere alikuwa hapendi ukaburu wa wasudani wenye asili ya kiarabu dhidi ya Wenzao weusi, Hata huko Sudan Khartom kuna watu wa kabila la Wanubi hawa jamaa wanatengwa sana kwa kuwa eti ni weusi wakati wao ndiyo walioanza kukaa maeneo ya north Sudan ktk ukingo wa mto Nile.

na kule biafra pia kulikua na waarabu .....udini ulimhangaisha sana sio ujinga..alipeka misaada kusaidia biafra ijitenge kutoka nigeria kuu ..kwa vile ulikua msimamo wa vatican.......
 
Wewe siyo mzima unahitaji matibabu tena ya dawa za kienyeji kabisa zenye wingi wa mwarobaini.

hadharani rais alihukumu wazanzibari...msidanganywe na hotuba zake baada ya kustaafu...

hanga-alipodhalilishwa.jpg
Tanzanian President Julius Nyerere is pictured on January 16th when he addressed an open air rally where the detained former Tanzania Minister and Vice-President of Zanzibar was brought to face the people. Mr. Kassim Hanga (seated between two police officers) is under detention with a number of other top Tanzanians after allegedly boasting that he had been called from voluntary exile in Guinea to lead an army coup on Zanzibar. Image and caption by Bettmann/CORBISDATE, 1968
 
Waacheni wazenji waende zao, lakini ole wao wakristo walioko z'bar maana watalazimishwa kufata ibada za kiarabu. Tena hata katiba itawabagua wasigombee cheo chochote kama ilivyo kwny nchi zote za kiislam. Na waislam watakaompokea Yesu kuwa mwokoz wao watakabiliwa na kifo kwa mujibu wa sharia. Bora hiv visiwa visukumwe mbali 2siyaone mateso watakayopata wa2 wa Mungu.
 
Katika moja ya hotuba zake mwl. Nyerere alituonya juu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar na matokeo ya upande mmoja kuukimbia na kuuacha upande mwingine wa muungano ukishangaa na kuduaa kwa kukimbiwa na wenzao. Alisema upande utakaowakimbia wenzao hautabaki salama. Alisema Zanzibar ni Zanzibar na Tanganyika ni Tanganyika kwa sababu ya muungano, nje ya muungano hakuna Zanzibar bali kuna Unguja na Pemba, Wazanzibara na wazanzibari, Maalim Seif na Dr. Shein, Karume, na Tanganyika kuna Wasukuma, Wazanaki, Wachagga, Wapemba, Wazaramo, n.k.

Hebu ona kinachotokea sasa Sudan baada ya Sudani Kusini kuwakimbia wenzao wa Sudan Khartum. Sudan Khartum wamebaki salama na Sudan Juba waliowakimbia wenzao wakajikuta kumbe hakuna Sudan Kusini ila kuna makabila ya Dinka na Nuer. Ona sasa dhambi ya kuwakimbia wenzao wa Sudani Kaskazini inavyowatafuna S. Sudan, maelfu wanakufa na mamilioni wameyakimbia makazi yao. Kumbe Nyerere bana hasemi uongo ni mtakatifu kweli nilikuwa nawabishia wanaotaka kumtangaza ni mwenyeheri na mtakatifu, lakini kwa hili moja, naunga mkono kuitwa mtakatifu.

Zanzibar iwachukulie hatua madhubuti (upper hand) wale wote wanaotaka Zanzibar iwakimbie wenzao wa Tanganyika kwenye muungano. Tena iwachukulie hatua za wazi na bila kumung'unya maneno, hatua na vitendo watakavyowachukulia watu hao wenye ndoto ya kutaka Zanzibar ijitenge kutoka kwenye Muungano sasa na leoleo vinginevyo kinachotokea Sudani Kusini ni cha mtoto kwa kitakachotokea Zanzibar kama ikifanikiwa kujitenga, itakuwa vita ya Unguja dhidi ya majambia kutoka Uarabuni

Siasa za Zanzibar zina wadau wafuatao ambao watakuwa chanzo cha vurugu za Zanzibar ikijitenga:
1. Kisiwa cha Pemba na
Kisiwa cha Unguja
2. Watu wa Pemba na watu wa Unguja
3. Chama cha CUF na CCM
4. Watu wa Zanzibar waliotoka Tanganyika
5. Watu wa Pemba na Unguja walioko Tanganyika wanaokumbwa na sheria ya Ukazi ya Zanzibar
6. Wazanzibar walioko Tanganyika wanaotaka kugombea urais wa Zanzibar
7. Watu wa Unguja na Pemba wanaotaka kugombea Urais wa Zanzibar
8. Mgawanyo wa mali na rasilimali zilizoko Pemba na Unguja
9. Uislam na Ukristo Zanzibar
10. Historia ya mapinduzi ya Zanzibar

Sasa ahali yangu naona umeishupalia Znz na kuisahau Tanganyika.

Kwa masahihisho Znz waislam ni zaidi ya 99.8% ya waZnz wote.
lakin pia hakuna mwakilishi wala mbunge wa kuchaguliwa na wananchi kutoka vyama vyote vya siasa Znz ambaye ni mkristo.

Nadhani ya baraza la wawakilishi ni 99.9% waislam.

Lakin naona umefunika upande wa Tgk kwani kuna mengi huko. Lakin kubwa
a. UISLAM NA UKRISTO
.
1. malamiko ya waislam TGK na Serikali YAO.
2. Mgawanyo wa madaraka Serikalini unapendelea ukristo.
3. MoU ya kanisa na Serikali ya Tgk
4. Mahakama ya kadhi
5. TGK kujiunga na OIC

b. Ukanda
c. Vita vya wakulima na wafugaji
d. Tofauti kubwa baina ya masikini na matajiri likizidishwa na ufisadi.

Je hayo nayo unayaona madogo? au umeyaweka wapi?

Hapo ustaadh umedanganya! kwani mbunge Sylivester Mabumba ambaye pia ni mwenyekiti wa bunge la jamhuri ya muungano kutoka Zanzibar naye ni muislam?
 
Waacheni wazenji waende zao, lakini ole wao wakristo walioko z'bar maana watalazimishwa kufata ibada za kiarabu. Tena hata katiba itawabagua wasigombee cheo chochote kama ilivyo kwny nchi zote za kiislam. Na waislam watakaompokea Yesu kuwa mwokoz wao watakabiliwa na kifo kwa mujibu wa sharia. Bora hiv visiwa visukumwe mbali 2siyaone mateso watakayopata wa2 wa Mungu.

umelewa viroba?
 
Acha uongo jimbo la Biafra mauaji yaliyokuwa yanaendeshwa kule ulitaka viongozi waafrika wakae Kimya? Hafu Biafra na Nigeria kwa ujumla wakatoliki ni wachache sana wengi kule ni waaglikana sawa kijana.

na kule biafra pia kulikua na waarabu .....udini ulimhangaisha sana sio ujinga..alipeka misaada kusaidia biafra ijitenge kutoka nigeria kuu ..kwa vile ulikua msimamo wa vatican.......
 
Elimu yenyewe ya madrasa unataka upewe ukurugenzi wapi na wapi? Mkiambiwa mkasome mnasema wanawasengenywa tuwafanyeje? Unadhani huko Omani, Saudia, Iraq, Iran, Misri hawajasoma hiyo elimu mnayoiita elimu dunia? au mnadhani hivyo vyuo vikuu kataika nchi za kiarabu vinafundisha quran? Tatizo lenu mnataka kila kitu kiendeshwe kwa mujibu wa sharia law,

Sasa ahali yangu naona umeishupalia Znz na kuisahau Tanganyika.

Kwa masahihisho Znz waislam ni zaidi ya 99.8% ya waZnz wote.
lakin pia hakuna mwakilishi wala mbunge wa kuchaguliwa na wananchi kutoka vyama vyote vya siasa Znz ambaye ni mkristo.

Nadhani ya baraza la wawakilishi ni 99.9% waislam.

Lakin naona umefunika upande wa Tgk kwani kuna mengi huko. Lakin kubwa
a. UISLAM NA UKRISTO
.
1. malamiko ya waislam TGK na Serikali YAO.
2. Mgawanyo wa madaraka Serikalini unapendelea ukristo.
3. MoU ya kanisa na Serikali ya Tgk
4. Mahakama ya kadhi
5. TGK kujiunga na OIC

b. Ukanda
c. Vita vya wakulima na wafugaji
d. Tofauti kubwa baina ya masikini na matajiri likizidishwa na ufisadi.

Je hayo nayo unayaona madogo? au umeyaweka wapi?

na wewe na huyo nabii wako wa uongo....si huyo nyerere aki support hiyo sudan ijitenge?
Si yeye akisaidia kwa mafunzo?
Garang alikua hapa akisoma na kupata misaada....yote ni udini tuuuu
na anayo zungumzia nyerere kuhusu zanzibar ni udini pia haoni raha kuona waislam kule visiwani wakijitawala....walitawaliwa ...lakini ana ndoto ya kuwatawala ili kuhujumu uislamu

kwani kabla ya huu muungano si ilikuwapo zanzibar tena kubwa zaidi,

maneno ya nyerere ni ya unafiki na fikra za kikoloni..wagawe uwatawale....hii ndio falsafa yake kwa visiwa vile huu ni ukweli hata kiama...yule mzeee alikua ana chuki hasa na waislam wa zanzibar .
1995 nyerere alikuwepo akimpgia kampeni mkapa....alizunguka nchi nzima mpaka kapata ugonjwa ulomuondoa.
Kule zanzibar chama chake kilikua na hali ngumu...na matokeo rasmi ya wasimamizi ni kuwa ccm ilishindwa....CCM IKAPEWA USHINDI WA CHUMBANI tena kwa amri ya siri ya ccm na nyerere alukuwapo na anayajua haya,
mgogoro ukaibuka....watu wakatiwa misuko suko, walitiwa ndani na polisi walifanya uovu mbele ya camera za tv..nyerere yupo macho ..kama alikanyaga zanzibar mpaka amekufa....
Nyerere hakua na nia njema na zanzibar hata kidogo...aliacha ugomvi ule yeye akisulihisha migogoro ya watusi wenzake....zanzibar haikumhangaisha......zaidi ya kutoa matamko kama hayo ya kuwagawa.....alisema wazi kabla ya uhuru kuwa laiti angekuwa na uwezo basi angevi sokomeza mbali baharini visiwa hivi na kuvifukia...huyo ndio nyerere na zanzibar...
Wadanganye watoto na wanywa maji ya kijani
Looh ,lool ,SaLaaalee Mkuu, yote hayo mie sikuyafahamu wala sikujua kuwa J.Grang alisoma TZ!! Yaani nilisikiaga M7 na kabila ndo walikuwa TZ. kumbe hata Majangol nao walikuwepo !! Samahani huko juu nilitoa "like"... lakini kila Mtu ana MZURI yake na MABAYA yake!! na ukamilifu ni wa Mungu pekee. Nashukuru mleta uzi kutambua athari za ukabila na Udini.... Vita vyake hapatikani mshindi.
 
na wewe na huyo nabii wako wa uongo....si huyo nyerere aki support hiyo sudan ijitenge?
Si yeye akisaidia kwa mafunzo?
Garang alikua hapa akisoma na kupata misaada....yote ni udini tuuuu
na anayo zungumzia nyerere kuhusu zanzibar ni udini pia haoni raha kuona waislam kule visiwani wakijitawala....walitawaliwa ...lakini ana ndoto ya kuwatawala ili kuhujumu uislamu

kwani kabla ya huu muungano si ilikuwapo zanzibar tena kubwa zaidi,

maneno ya nyerere ni ya unafiki na fikra za kikoloni..wagawe uwatawale....hii ndio falsafa yake kwa visiwa vile huu ni ukweli hata kiama...yule mzeee alikua ana chuki hasa na waislam wa zanzibar .
1995 nyerere alikuwepo akimpgia kampeni mkapa....alizunguka nchi nzima mpaka kapata ugonjwa ulomuondoa.
Kule zanzibar chama chake kilikua na hali ngumu...na matokeo rasmi ya wasimamizi ni kuwa ccm ilishindwa....CCM IKAPEWA USHINDI WA CHUMBANI tena kwa amri ya siri ya ccm na nyerere alukuwapo na anayajua haya,
mgogoro ukaibuka....watu wakatiwa misuko suko, walitiwa ndani na polisi walifanya uovu mbele ya camera za tv..nyerere yupo macho ..kama alikanyaga zanzibar mpaka amekufa....
Nyerere hakua na nia njema na zanzibar hata kidogo...aliacha ugomvi ule yeye akisulihisha migogoro ya watusi wenzake....zanzibar haikumhangaisha......zaidi ya kutoa matamko kama hayo ya kuwagawa.....alisema wazi kabla ya uhuru kuwa laiti angekuwa na uwezo basi angevi sokomeza mbali baharini visiwa hivi na kuvifukia...huyo ndio nyerere na zanzibar...
Wadanganye watoto na wanywa maji ya kijani

Hapo unapoandika upo tanganyika ndo maana una nguvu sio mdebwedo km wenzako waliobaki kule.
 
Yeah ni kweli bhana ! Unajua Mh JK NYERERE ALIWAHI KUITABIRIA MEMA CDM NA SASA UKWELI UNAENDA KUTIMIA 2015 !
 
Kwa ufupi Zanzibar inahitaji kujitawala. Hakuna anayefahamu maslahi ya wazanzibari zaidi ya wao wenyewe. Na haiwezekani viongozi wa Tanganyika wakawafahamu wazanzibari kwa kuwa kuna wengi wao hawajawahi kufika chumbe. Wapo pia wazanzibari ambao hawajawahi kufika kizimkazi wakaona mataa ya dar es salamu. Kwa kuwa hakuna mwananchi wa kawaida anayefahamu siri iliyopo ya huu muungano unaolindwa na maBUBU wasiosema sababu za msingi za sisi kuungana mimi naona muungano uondoke halafu baadaye tuone ni nani alikuwa anafaidi na hatimaye tuone kama kunahaja ya kuungana.

Nyerere ni mtu tu aliyewahi kuona TV mapema na kusoma vitabu vya mantiki halafu akasema kama walivyosema wengine. TUACHE MAWAZO YA WATU TUANGALIE UHALISIA WA SASA.
 
Back
Top Bottom