Recent content by Prisila

  1. P

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Neno la shukrani kwa wote

    Tuko pamoja mkuu
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nauza Laptop aina ya Samsung

    ndiyo maana nimeweka namba ya simu
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nauza Laptop aina ya Samsung

    nauza laptop aina ya Samsung nipo musoma simu namba 0766520296
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji maombi yenu ndugu zangu/ wanaJF

    Nahitaji maombi yenu ndugu zangu wanaJF kwa ajili ya baba yangu mdogo.Alikuwa anampeleka babu yangu hospitali leo mchana bahati mbaya wakiwa njiani wakagongwa na gari, babu amekufa pale pale ila baba mdogo hali ni mbaya amekimbizwa katika ya wilaya Huruma huku Rombo. Tafadhali.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Miss Tanzania 2014 live Star TV

    Hata kwangu ni mbaya
  6. P

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Naseeb a.k.a Dangote, sijui yeye Atapewa PrivateJet leo

    Mungu amkuze katika Hekima yake.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Chaggaa Barbie

    Haaahaaahaaa
  8. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufunga ndoa, Lucy Komba awalipua wabaya wake

    Shikamoo kaka Warumi
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa Shilole akataliwa ukweni

    Aisee ni shida!!
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mila hizi za Kichaga mnazionaje wenzangu

    mimi huwa nachoga sana nikiangaliaga haya mafuvu na mifupa ya watu iliyowekwa huku kwnye masale baada ya kufukuliwa kweli kna mila nyngne daah bas tu hatunajins tumezikuta inabid tuziache zilivyo.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Majina, misemo na maneno kwenye khanga

    Mdomo wa mnafiki hauna likizo"Heri pancha ya gari kuliko jirani mwenye kero
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mume wangu kaibiwa nikiwa masomoni

    Hapa ndiyo mahali nikifikiria wanaume huwa siwaelewi. Achana na mambo ya wanaume anza upya kwani lazima uish na mwanaume acha kuumiza moyo
  13. P

    JamiiForums Tanzania Natamani kuacha hii tabia lakin nashindwa naomba ushauri doctor

    Nawashukuru sana gfsonwin, len wilguy pamoja na wna jf wote mliotumia muda wenu kunipa ushauri ahsanten mungu azdi kuwazidishia hekima. Japo wengine wanafanya utani. Jaman ckupenda kufanya tabia hzi lakin nilijikuta katika maisha haya ambayo mwanzon niliona ni sawa na niliyafurahia lakin sasa...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Wito kwa kina dada wenzangu:- Nilidanganyika, nikatumia kanuni ya P. M. U, sasa NAJUTA

    hapa ndipo ninapowashangaa hasa wasichana wengne akil zao kwanini ukubali kufanywa ovyo mpaka unatiwa mimba? Kwani bila kuwa na mwanaume itakuwaje? Ona sasa unavuna matunda ya uzinz..
  15. P

    JamiiForums Tanzania Natamani kuacha hii tabia lakin nashindwa naomba ushauri doctor

    Nimekuwa nafanya mapenz na wanawake wenzanga huu ni mwaka wa nne mwanzon niliona ni sawa ila sasa naichukia najitahid kuacha lakn nimeshindwa imefikia hatua nataman hata kufanya na dada yangu wa kuzaliwa naye. Kila nikiona wanawake wenzngu nataman kufanya nao. Sitaman mwanaume kabisa naona...
Back
Top Bottom