Wito kwa kina dada wenzangu:- Nilidanganyika, nikatumia kanuni ya P. M. U, sasa NAJUTA

Pole sn dada angu.kukosea njia ndio kujua njia..ucjaribu kukitoa kiumbe kiccho na hatia yyte.zaa,na mlee mtt wko kwa hali na mali(shda na raha).4 sure atarud 2 kumtaka mtt wke akishakua mkubwa.coz u never knw anaweza kukosa mtt ktk maisha yke na itamlazmu arud kwko tu.sasa hapo....!!
 
Binadamu bwana? What gives you the audacity to judge others? Give her advice if you can or take ur empty head elsewhere. Idiot.
 
Pole sana, na kama ni kosa limeshatokea. Kwa kuwa kiumbe cha tumboni hakina makosa basi usikihukumu tunza mimba yako, zaa mtoto wako na jitahidi umlee vizuri akue atakusaidia usiwe mpweke hapo baadae.

Na pia kumbuka mabaya uliyofanyiwa hulipwa duniani humu humu, huyo mtu kama ulikuwa unapenda kweli na alikuwa anatambua hilo adhabu yake ni hapa hapa duniani na atakutafuta tu.

Ila tafadhali nakuomba usitoe hiyo mimba maana utakuwa umefanya kosa moja kubwa sana dada katika hii dunia.
 
Jamani PMU ni pata mimba uolewe.
Nimedanganyika mwenzenu mie, nina mimba ya miezi miwili, namwambia mheshimiwa juu ya huu mzigo, na kuanza michakato ya ndoa.
Cha kusikitisha bwana kaka ananijibu, eti mie sina sifa za kuwa mkewe, ila nina sifa za kuwa girlfriend tu.
Hivi sasa kichwa chaniuma, najiuliza NIZAE AU NITOE, sipati jibu.

hapa ndipo ninapowashangaa hasa wasichana wengne akil zao kwanini ukubali kufanywa ovyo mpaka unatiwa mimba? Kwani bila kuwa na mwanaume itakuwaje? Ona sasa unavuna matunda ya uzinz..
 
toa mwaya,life is too short kuanza kung'ang'ana na ulezi mwenyewe.:tape2:
Ushauri mwingine ni sawa na nguvu za giza. Ushauri mzuri pale mtu anapopatwa na tatizo ni ule ambao hata hilo tatizo lingekupata wewe ungeweza kuchukua uamuzi huo na sio kumshauri mtu kitu ambacho wewe huwezi kufanya. Ulieandika ushauri huu hapa bila ya shaka wewe mwenyewe utakuwa ushazitoa za kutosha tu!!. Shetani amekamata ufahamu na akili zetu ndo maana sehemu ambayo unategemea kuona mawazo/ushauri kutoka kwa 'Great Thinkers', unakuta mawazo/ushari unatolewa utadhani anayetoa huo ushauri katoka usingizini. Ukiachilia mbali kuwa utoaji wa mimba ni kitendo cha dhambi na kisichokubalika mbele ya jamii zetu za kitanzania, pia tujiulize kuwa wewe na mimi kama Mama zetu wangeamua kuzitoa mimba walizobeba tukazaliwa sisi leo tungekuwepo hapa duniani? Kutoa mimba ni uuaji sawa na uuaji wa aina nyingine yoyote, kiumbe kilicho tumboni hakistahili adhabu hiyo ya kukikatishwa haki yake ya msingi ya kuishi Muombe Mungu akutie amani, nguvu na uvumilivu ili uweze kujifungua salama na umlee mwanao na iwe fundisho kuwa mimba sio kitu pekee kinachopelekea wanaume kutangaza ndoa.
 
Mwanaume anayetaka kuzaa na wewe na kukuoa, amaye ni Mwanaume serious, yaani kakaa kigentlemen sio tapeli tapeli wa maneno, utamjua kadri muda unavyokwenda, hatokuwa interested na wewe sana ukizungumzia suala la kuwa na watoto naye wala ishu za kuwish ndoa au kuoana naye, usijidungishe, mdanganye kuwa wewe ni mjamzito kabla hujajidungisha kikweli, akiapriciate, huyo sawa, akilalamika kuwa hakuwa tayari, hakujiandaa kulea familia but hawezi kukutelekeza wewe na mtoto, atachukua jukumu la kukutunza, huyo sawa, ila muangalie asije akatoroka na mtoto akakuacha, si ajabu ukute anazuga kumbe ana wake anayemzimia zaidi, akikuruka kabisa, kimbia achana naye, si wa maana huyu, danganya kwamba una mimba firstly uone reaction yake, usijibebeshe kiukweli, utalia my Dear
 
Keep the baby, usimuadhibu kwasababu ya Baba yake, sidhani kama una reasons seriously za kumuabort, komaa nalife yako na your family, na kama alikuwa angalau anajulikana home, hutolaumiwa sana, tusidanganyane, tusijidanganye, tuwe makini na types za wanaume hawa wapuuzi
 
pole na usimtoe huyo jk na na salma wa baadae,af wakati mwingine tumia haya maneno SIDANGANYIKI NGO!!sawa eeeh
 
Tumekuwa wapenzi kwa mwaka na miezi sasa, nikadhani nikinasa basi itakuwa rahisi kwa mwenzangu kutangaza ndoa


Pole mdada kwa yaliyokukuta, kupata mimba sio kuolewa mume anakupa Mungu na si kwamba mimba inaweza kukupa mume pole sana, wanaopata mimba na kuolewa wenzio huwa wanaongezea na njumage. Lea hiyo mimba mtoto wako ndio atakua furaha yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom