Maxence Melo: Neno la shukrani kwa wote

Maxence Melo: Neno la shukrani kwa wote

quote-the-richer-we-have-become-materially-the-poorer-we-become-morally-and-spiritually-we-martin-luther-king-51-39-72.jpg
 
Vita na mtan wangu ni kubwa sana, huenda tarehe 29/Dec wakakuongezea mashtaka, tujiandae sote kutetea haki zetu..!!

PAMOJA.
 
Maxence Mello ukiweza jaribu kuwapm wale wote uliotakiwa utoe utambulisho wao na kipi walitaka kujua ili kweli tujue kama kuna nia ya dhati ya kupambana na ufisadi na rushwa au ni kulishana upepo kama vile inavyohubiriwa mahakama ya mafisadi?
 
Uishi maisha marefu na wala usiteteleke bali iwe ni hatua nzr kwako ya kukomaa na kuijenga Jf kikamilifu

Viva Max
 
One love bro... Pole kwa yote ila dhahabu lazima ipitie kwenye moto ili ing'are zaidi.. Utashinda kupitia yeye tunayemtumainia bwana Mungu aliyejuu
 
Pole Sana Mkuu kwa yaliyokupata Mkumbuke Muumba wako kwa kila ufanyalo ukweli utakuweka huru.... Don't give up...
 
Kabwa makanika jitu kumbuka katika vita zidi ya unyama wa mafia,.M.O.B. Tuko pamoja mkuu
 
Remember that the revolution is what is important, and each one of us, alone, is worth nothing
 
Back
Top Bottom