umemuoa ee.!! Au aende kwa mzee wa upako akamsaidie.
hahahahaha eti upande wa pili! loh labda mtumishi ameona watu wanakwepa kanisani kaamua kuja kuvizia kondoo hapa janvini.Umeona eeeh! Hakwepeki kbs amebana kote kabisa ukikwepa huku unakutana naye upande wa pili.
Mimi mwenyewe mume, uchungu wangu naujuwa...hata nkikuelezea huwezi kuujua uchungu wa mme....
Kama sio chai....
sipati picha unavoumia, pole sana!!!
mme anauma jamani kuliko hata cristapen
Habari wana JF.
Nilikuwa masomoni,nimerudi likizo nimekuta mume wangu kaoa,hajali ujaji wangu,na kasema kama nakwazika nisepe yeye hataki wasomi.
yeye ni form4 na mimi ni degree.
Nisaidieni jamani.
wanawake wanamakwazo eti
Hakuna mtu asie na makwazo
si mwanamke si mwanaume wote sawa tu
Weka malengo yako ya muda mfupi na mrefu! !!!!!
Ni changamoto tu hiyo ukiwa "cooperative" humu shida yako itatatuka fasta kwa gharama nafuu sana!!!!!!
Cc Asprin
shida nyie mkiwa na kazi huko ndan hapakaliki.unaona mwenzio kajifanya mjanja kisa uhakim
tunataka anayejieshim sio zarau.mmwanaume ndo kichwaWanaume hamueleweki kama papuchi tu
mwanamke golikipa mna ona mzigo make mnaombwa hadi hela ya kiberiti
mwanamke mwenye kipato wa kusaidiana nae maisha mna mnamuona ishu
hivi mnatakaje???!!?