Natamani kuacha hii tabia lakin nashindwa naomba ushauri doctor

Prisila

Member
Feb 5, 2011
28
7
Nimekuwa nafanya mapenz na wanawake wenzanga huu ni mwaka wa nne mwanzon niliona ni sawa ila sasa naichukia najitahid kuacha lakn nimeshindwa imefikia hatua nataman hata kufanya na dada yangu wa kuzaliwa naye. Kila nikiona wanawake wenzngu nataman kufanya nao. Sitaman mwanaume kabisa naona hawana maana kwangu kbisa tena huwa naona wananisumbua naumia nataka kuacha hii tabia nifanyeje nisaidien nataman kuwa kama wadada wenzangu.
 
unafanyaje mapenzi na mwanamke mwenzio aisee, wewe una uboooo au? hayo utayaita mapenzi au ushetani tu?
 
Pole sana....sali sana na muombe Mungu akusaidie ili uachane na tabia hii.
 
sijakuelewa vizuri unamaana kwamba una maumbile yote ya kike na kiumehata hivyo umeepusha usumbufu kutoka kwa wanaume,Endelea bibie kwa tabia yako ila uandae majibu ya kumjibu Bwana wetu YESU kristo
 
huwa mara nyingi ni mapepo yanakuendesha ufanye hvyo...tafuta mchungaji akupigie sala ya maana
 
pole ndugu kwa vile umedhamiria ipo siku utaacha zidi kumwomba muumba wako hata wale ulikuwa unafanya nao hako kamchezo jaribu kuwa nao mbali usije ukaingia majaribu wakati huu wa toba
 
Nimekuwa nafanya mapenz na wanawake wenzanga huu ni mwaka wa nne mwanzon niliona ni sawa ila sasa naichukia najitahid kuacha lakn nimeshindwa imefikia hatua nataman hata kufanya na dada yangu wa kuzaliwa naye. Kila nikiona wanawake wenzngu nataman kufanya nao. Sitaman mwanaume kabisa naona hawana maana kwangu kbisa tena huwa naona wananisumbua naumia nataka kuacha hii tabia nifanyeje nisaidien nataman kuwa kama wadada wenzangu.Nakushauri ujikatili mwenyewe,namaanisha ujilazimishe kutoa mbunye kwa wanaume mara kwa mara ili ujizoeze
 
Kwanza kabisa nakupa pole kwa hali hiyo. Nakushauri kama wewe ni muumini wa Bwana wangu Yesu Kristo, piga magoti kwake ili umuombe msamaha na zaidi sana mweleze juu ya hali yako na umuombe akuongoze kushinda hiyo tamaa. Ubarikiwe
 
mimi kabla sijakushauri ningependa kujua kwanza,wakati unafanya huwa kama mwanamke au mwanaume?
 
Cameroun na Obama kuna mteja wenu huku, promosha misaada faster kutetea haki zao.

U S H E T A N I.
 
Ungeelezea namna pia namna ulivyo km una jinsia mbili au vp. Ili watoa ushauri waone namna nzuri ya kushauri,haya mambo umejifunza wapi,mmh?
 
Wewe mbona umekimbia? Kama upo serious una matatizo hayo mbona umesepa? Mnapofanya mnatumia dildo za dida? Je wewe ndio unaingizwa au wewe ndio muingizaji? Umeimbika ki-kike au ki-jike dume?
 
Nakushauri ujikatili mwenyewe,namaanisha ujilazimishe kutoa mbunye kwa wanaume mara kwa mara ili ujizoeze-

Rahaaa!Aanze nawosongo wa Jf :-*!
 
Prisila kwanza, kabisa hongera kwa kufikia mahali ukaamua kumkataa shetani na mambo yake. Nafikir sana kuwa wewe waweza kuwa ni muhanga wa shule za bweni za wasichana ambao walikuwa wapatapo mihemko basi wanasaidiana mabwenini na wakafikia wakati wakawa wanaitana mume na mke mambo haya yalishamiri sana kuanzia enzi zile za miaka ya 95-.

Jambo la kufanya hapa ni moja tu, amua kwa dhati toka moyoni mwako kuwa dhambi hii siitki tena ukisha amua hivyo futa mawasiliano yote na wanawake wote uliokuwa nao kama sex patnaz wako. Na iambie akili yako maneno haya

' wewe akili ongoza mwili wangu, na kwamwe mwili usikuongoze wewe akili"

pia sema hivi " wewe nafsi yangu, tii akili yangu, wala usitii mwili wangu"

maneno haya nakwambia uyasema kwani kuna mahusiano makubwa sana kati ya mwili wako na kuongoza akili yako na nafsi yako kutii. wataalam wa psycholojia watanisaidia kufafanua hapa manake kuna maneno nataka niyatumie but naona yatakua magumu kueleweka ila fanya tu hivyo.

wakati unatamka maneno haya yaingize kwenye hisia za moyo wako ili dhamira hii itoke ndani yako kabisa, kuna tabia nyingine bwana hata kama utasali vipi kama dhamira ya ndan haijakuwepo haziwez toka kamwe hta usaliwe vipi. Fanya hivi mpaka nafsi ichukie tendo la kuwa msagaji na isiwe kwako ni kitu hukitaki tu. Manake kwa jinsi ulivyosema ni kama vile hutaki tu lakin siyo kwamba unaichukia na ukisoma kwa makini utagundua kuwa hutaki kwakua unamtamani dada yako na si vinginevyo.

Ukishaona nafsi nafsi ieanza kuichukia hali ya usagaji jua umeshinda vita hatua ya kwanza, so nenda ya pili ambapo sasa utaomba toba kwa muumba wako kisha uwe mfuasi wake kweli. hapo utakuwa umemaliza hili tatizo kabisa. Jitambue wewe ni nani, nini thamani yako hapa duniani na kwanini sasa umepewa nafasi ya kuijua thamani yako.

epuka mambo yafuatayo wakati unapoachana na hili

usikae na mashostito hasa kwenye vilevi. ni bora ukatafuta male company ambayo itakufanya uwe na confidence as a girl
usitamanai kuwaambia mashostito kuwa you want to quit the bhaviour kwani wao watakushaur tofauti so just tell them am busy see you baadae. kama ulikuwa unafanyia home kwako waambie uko safari so wasije hadi utakaporudi. wale wote uliokuwa una fanya nao wasikusome but uwe bizy na kuichukia.

pia waweza jenga desturi ya kusoma magazeti ysiyokuwa na ngono wala kuangalia mapicha ya ngono, soma novels na hata vitabu vya mungu. Jioni penda kutoka ukutane na watu ofauti maeneo ya wazi ongea na chat na new friends. endelea kufanya kazi za kike hasa za ndani like washing, cleaning yaani uwe mwanamke kimatendo ili huyu ibilisi ajue haupo kwake tena.

kama ulikuwa unatabia ya kujifanya jike dume, achana nayo kabisa be a lady, hata kimavazi tu, jinsi unavyoendesha gari, au unavyotemmbea na hata sauti. yapo mengi sana na natamani ningejua jinsi ya kuattach doc fulan hapa ningekutumia usome ilitumika kubadili wadada wengi wa aina hii.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom