[E="CHAZA, post: 15544524, member: 114660"]Kama hilo ni kweli, watanzania tumeliwa sana. Yaani F zote lakini anakula maisha BOT.
Katika Taasisi ambazo muundo wa ajira zake ambazo kimsingi ni za umma lakini ni za KISHENZI,UBAGUZI, VIMEMO,UKANDA,KUJUANA basi TRA,TPA,BOT,HAZINA wanaongoza. Huko...