Hili lilikuwa jembe sana, yaani kila asubuhi tulikuwa tunasikia kelele za kutumbuliwa majipu, watu walikuwa wameshika adabu sawasawa, sasa huyu uliyetuletea anashinda ofisini, Jamani turudishieni hili Jembe letu linatufaa sana. Huduma zilikuwa zinaenda mbiombio.