Naona "Rais wa mioyo ya Watu" akiwa amejipumzikia Canada.Pete nzuri ya dhahabu inayong'ara.Ama hakika maisha huanza baada ya miaka 40.Kila la heri @Dr Slaa,kiongozi uliyetokea kupendwa na watu na muasisi wa siasa za ushindani Bongo
huyo mama ana hesabu kali, labda kama si yeye Dr angekuwa analalamikia kura Tanzania, lakini kwa busara zake mama, Dr sasa anakula bata bara jingine, kwa hisani ya walio muogopa.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.